@AM_NIC3@faraja_zungu Labda kama kulikuwa na matatizo mengine hapo au njia ya mawasiliano ilikuwa na shida ila hakuna taasisi ya fedha inaruhusiwa kukaa na hela ya mteja kwa siku 30 bila kutatua changamoto yake maximum ni siku 5 hadi 10 za kazi.
@ItsKamala Posho za vikao vya kamati za halmashauri na shughuli za halmashauri kama kutembelea miradi na ziara za halmashauri pamoja na madiwani zote hizo analipwa toka halmashauri husika.
So your argument here is "Bora umpe ushirikiano mbakaji wako na hata kumtetea ikibidi kuliko kulalama tuu kimya kimya while mwisho wa siku bado utabakwa" sio? Kwamba notion nzima ya self preservation in hopes for a better tomorrow without being actively complict huielewi?
Hatukybaliani na hili ila woote ukweli tunaujua ..
Ni nani angekuwa kiranja wa zamu na angetakiwa kuonesha ametoa hiyo na mamlaka angekataa !?/.
Tuanzie hapo tusiende mbali! ..cc @MwansasuSnr x @1960Remija
@Rahim_Meghji@babaiftah@Adventure_36 Upo sahihi na mwenye roli alijitahidi kubana upande wake na kupunguza spidi, mwenye bus kwa wakati analiona gari inashuka kwa spidi angeweza kusimama na kuchomeka nyuma shida ni ujeuri kuwa mwenzake atasimama na yeye ataweza kupita pale mwisho ndo anashtuka hesabu zimekataa.
@babaiftah@Rahim_Meghji@Adventure_36 Huyo ni mzembe pia alishaona bus inashuka na amekosea kutanua badala atulie aunge nyuma ya Lori akataka kushindana nalo kisha anafanya maamuzi ya kuunga nyuma dakika ya mwisho ameshafikiwa kabisa.
@salim_alkhasas Huo ni moja ya udhaifu wa katiba yetu, tunatambua kuwa tuna mihimili 3 inayojitegemea kwa maandishi huku kiuhalisia tuna mhimili 1 unaondesha na kupangia hii mingine 2. Kuupa mhimili 1 nguvu ya kuunda na kuvunja mhimili mwengine ni makosa na inapaswa kubadilishwa.
@Philosophe45141@thomasjkibwana@ReganTesla_ Kila anapotoa risiti kwenye mashine malipo hayo yanasoma kwenye mfumo wa idara ya mapato halmashauri ambao wao kulingana na muongozo wao wa uwekaji fedha benki huwapa control no za kuweka hela kwa mkupuo kwenye akaunti ya halmashauri inapofika kiasi au tarehe husika.
@BarakaMaviatu@Vet_doctor87@Makaveli_255 Bado zinapita halmashauri na mchakato unaanzia kwa afisa ustawi wa jamii kisha Kuna mchujo wa wanaostahili kupata na kiasi gani wanawapa then mhasibu wa halmashauri ndo analipa kwenye akaunti ya bank utakayowapa.