@mangekimambi Ushirikiano apo. Lakini aje kwanza na mwenyewe ili tuungane.
Inakuaje unataka ushirikiano ili hali wewe hutoi ushirikiano.
Yaani wewe uwe mbali, unataka wenzako watoke wapigwe!
@Rydx_017@athanas_pius@Balyx_@MissChelsea1221@DullahTheking2 Ukiona hivi ujue kuna kitu hakiko sawa, kote kwa mkandarasi na serikali.
We unadhani kwanini vya Arusha na Zenji vinaenda vizuri ili hali makao makuu kazi inasuasua.
Mkandarasi apewe hela Alafu azingue, sidhani.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema amesema kuwa maridhiano ya kweli nchini hayawezi kuwa suala la kumtoa Tundu Lissu Gerezani pekee, bali ni kurudisha Taifa katika misingi ya sheria, haki na utaratibu ili kila Mwananchi aweze kupata haki yake bila upendeleo.
Lema ameyasema hayo leo Mei 08, 2026 Jijini Arusha wakati akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika eneo la Soko Kuu Arusha mbele ya Wanachama na wafuasi wa CHADEMA, ambapo alizungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa na hali ya demokrasia Nchini huku akisisitiza umuhimu wa kuheshimu misingi ya Katiba na utawala wa sheria. #MillardAyoUPDATES
Post your badge on a social media platform (Fireside Forum, X, Instagram, etc.) using #PiOpenNetwork. After sharing, return here and submit your post link to enter the raffle.