@JamiiForums nitumie fursa hii kuwashkru sana, maana haikuwa rahisi kwa idadi ile ya Machapisho lakini nikaibuka kuwa miongoni mwa Washindi watano.
Nina mshikru sana Mungu kwa fungua njia yangu na kuniongezea kitu kingine katika Kumbukumbu zangu.@macdemelo
Ugonjwa wa mlipuko unatokana na Uzembe wa kutozingatia kanununi bora za #Usafi? na #usalamawachakula? Takasa mikono kila baada ya kushika kitu kichafu au kisafi!!! Nawa mara kwa mara na maji tiririka. Usile chakula bila kuosha mikono au Wanyama wa porini[nyani] @ElimikaWikiendi
@Labella_Mafia95 Mc, Pili Pili, Alinifanya nijione mjinga, Aftet ile Ndoa yake alitamba na kuvimba sana, alituzarisha sana wanaume, alikufuru hadi uwepo uwepo wa Maadhimio ya vikao vya wanaume Duniani. Alikejeri kila aliyempa tahadhari. For me anastahili kupata alichopata ili liwe funzo.
Hizi odds 100+ kama mnakumbukumbu nimesha wapa sana winning back to back π₯
Sasa Leo nimewapa 120 hizo zipo paripesa tuu sio kampuni nyingine kausha damu.
Sasa fungua account yako ya PARIPESA ‡οΈ
https://t.co/SnjORfh33A
Promo-code jaza, WILLZ
Kisha nenda pale pinned chukua mkeka Leo tunashinda wote π€π½
Tuwe wakweli Yanga wanacheza kwa nguvu sana.
Sina cha kuwalaumu team yangu hata kama wakipoteza hii game maana sisi ndiyo kwanza tunatengeneza team mpya
Nimerejea Dar es Salaam na Tuzo mkononi, Shukrani kwa Watanzania wote mliopiga kura na kunifanya nishinde!
Asante sana Waandaji @shinningstars_awards_africa @zikomoawards @the_mvaawards @blessington_ouddar @Stellarated @lebo_gunguluza_sir @HellenZulu@SandtonHotel
πTRENI LA LEO LEO "NGUMU KUMEZA" LIKO TAYARI π°
πODDS 10K, MECHI 27β οΈ. Hili ni kwa WANAOLITAKA TU
πKAMA UNALITAKA RETWEET HAPO CHINI NIKUONE NIKUPE CODE BURE π°
#Mwanahalisi Uhuru wa Media unarejea kwa kishindo sana, umepata nakala yako leo. @zittokabwe@MariaSTsehai@SKubenea @Mwanahalisitz baada ya miaka 6, Wanarejea hewani na Habari Kedekede.