Napenda KUIPONGEZA Mahakama ya Tanzania kwa kutoa KATAZO 👇 ambalo LINAVUNJA ibara ya 18(b) ya KATIBA ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni UZALENDO wa hali juu hata kama UNAVUNJA ibara ya 26(1) ya KATIBA, naomba kwa pamoja TUPONGEZE.
VIDEO:
"Mama (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan) amekubali (kutupeleka kwenye maridhiano, na wale wanaosema eti bila CHADEMa hakuna kitakachofanyika, mnatakiwa kujuwa kwamba CHADEMA ni chama kama vilivyo vyama vingine, kitendo chao cha kutofika kwenye kikao cha Mheshimiwa Rais, hiyo ni sawasawa na mtoto mmoja anapopotoka na kuwa mvuta Bangi..." -Shani Ally Kitumbua
Shani Ally Kitumbua ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake wa Chama cha Wakulima (AAFP), na hayo yote ameyasema katika mkutano wake na Waandishi wa Habari uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo, Jumatano Agosti 05.2026

Hiki chama utapeli hakijaanza leo, Hawa niliwafundisha mwenyewe haya makaratee ya kufake mikutano, kwahiyo nawajua uhuni wao kama ninavyoijua Mbutu na Vichochoro vyake😂
Wamewalipa vijana wa IT wacheze na AI ili mikutano ionekane imejaa, wakazuia picha na video zisipostiwe kabla
JAMBO LA KUSHANGAZA MAHAKAMANI.
Muda huu wameingia wasaidizi na walinzi wa Majaji wamechukua Computer na vifaa vya Mahakama wameondoka navyo.
Inaonekana muda huu kesi haiwezi kuendelea maana wanaondoa kila kitu Mahakamani.
Taarifa tuliyonayo Mawakili wa Serikali hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani so muda huu Karani amesimama hapa na kusema kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa Msajili wa Mahakama atarudi kuleta mrejesho.
Kwahiyo tupo njiapanda hatujui kinachoendelea hadi sasa.
Kesi imewashinda wanalazimisha ni aibu kwa Mahakama kuiamuru Jamhuri kuwa ilete Mashahidi baada ya lisaa limoja kwasasa ni masaa mawili yanaelekea matatu hakuna kinachoendelea.
Mawakili wa Serikali wanaamua kesi iendelee au isiendelee.
Vituko, Vichekesho na Maajabu.
Tunaendelea tuone mwisho wa hizi drama zao.
Wako Muhabarishaji,
Hilda Newton.
Mheshimiwa PAUL MAKONDA ni mmoja kati ya VIJANA wa CCM ambaye ni MBUNIFU na MSOMI SANA. Kwa kutumia zile TZS 2 BILIONI, tayari ameonesha MFANO wa “KUKRIETI KONTENTI” hapo 👇😂😂