@Steven_Mongi@UhamiajiTz Asante sana kwa ufafanuzi mkuu, nlipewa YANGU juzi ya blue ghafla naona mwingine anapewa ya kijani nkasema kimoyomoyo nsijekua nmepewa yakwenda Kenya tu😂😂
@MacBMay@Wizdomtz uNapokua dereva tofasiri yake ni unatambua arama na kuzitafasiri arama za barababarani, sasa ukisema wachana nazo nirahisi sana kusababisha ajari.
@Wizdomtz T1 - bArabara kuu ya kitaifa (ni arama ilioko kwenye kundi la maelekezo)
means:
umetokekea kwenye barabara ndogo unaingia kwwenye barabara kubwa, inakujulisha unaingia kwennye barabara kuu ya wilaya au barabara kuu ya mkoa utakutana T1 or R1 kwa baadhi ya nchi za sadec.