โ๏ธ IJUMAA KUU NJEMA ๐น๐ฟ
Tunawatakia Ijumaa Kuu njema yenye tafakari, utulivu na rehema tele kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania.
Katika siku hii adhimu, tunawakumbusha kuwa:
Mateso ya Bwana Yesu Kristo ni alama ya upendo mkuu, uvumilivu na ukombozi wa dhambi zetu.
Tuchukue nafasi hii kuombeana heri, msamaha na mshikamano wa kitaifa.
Tusamehe, tupendane na tuishi kwa amani.
Tunapokaribia Sikukuu ya Pasaka, tuendelee kulijenga Taifa letu kwa maadili, imani na mshikamano.
Ijumaa Kuu Njema!
Kutoka: Idara ya Uhamiaji Tanzania
#IjumaaKuu #Pasaka2025 #UhamiajiTanzania #HudumaKwaTaifa #TanzaniaYangu
Mpango Kamili wa Lishe ya Kuku wa Nyama
Mpangilio wa Lishe:
1. **Starter**: Siku ya 1 hadi 14.
2. **Grower**: Siku ya 14 hadi 35.
3. **Finisher**: Siku ya 35 hadi wakati wa kuuza.
Kama unachochote cha ongezea ,Andika hapo chini๐