@Simalikesyosa@TanzaniaLeaks Kulinda raia? ulitaka mpka vita Kati ya polisi ili uamini kama JWTZ ni wazalendo mimi nahakika nilipokua polisi waliua mtu mmja tu na baada ya hapo sehemu yoyote wqlipokua raia wanajeshi Waliingia katikati yao na kuna polisi walifatwa na ambulance wakiwa wameumizwa sana na jeshi
Watu wanaweza kuchukulia kama mzaha, lakini ukweli ni kwamba hili linagusa moyo kwa kina. Maisha ya mtu mmoja yana thamani isiyolinganishika. Ni zaidi ya maendeleo, zaidi ya siasa, zaidi ya agenda yoyote ya dunia hii.
Tukifikiria kwamba hawa wote hawapo tena, tunakumbushwa kuwa damu iliyomwagika haipotei kimya kimya. Kuna sauti inayopaa, na haki ina wakati wake. Damu hizi zinalia na Mungu, ambaye hasahau, atajibu katika muda wake maalumu.
Kitu pekee naamini, pamoja na mambo yote mabaya ambayo yanatokea, CHADEMA sasa, TUPO KATIKA NJIA SAHIHI na TUTAVUKA SALAMA. Vita ni kubwa sana kutoka kwenye DOLA na marafiki wa DOLA. Lakini, CHADEMA lazima ibaki salama na watoto wetu wataitumia kutengeneza TANZANIA waitakayo.