@YerickoNyerereT Kwani bado watu wanamsiliza Yericko jamani? Huyo alikuwa msaliti tangu zamani sana. Watu waliambiwa ila wakamtetea kupitia tuvitabu twa wikipidia na kukopi paragraph
@mshambuliaji@bajabiri Huyu ni Baraka Kitenge kweli? Mbona kawa mhaini hivi? Hizi hisia zinaonesha alikuwa mhaini kitambo sema tu mazingira magumu hapa.
@fumbokhanJr Unaleta taharuki mitandaoni. Fanya kazi. Ng'ombe ni kitu cha thamani kubwa. Tunapata maziwa na nyama. Sasq huyo binadamu wangapi tunaweza kufaidi ziwa lake? Nyama yake ndo haiwezekani kabisa, ni dhambi kuu