BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa.
Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia.
Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE.
MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.๐๐พ
@mwanakijiji2@PolycarpMDM Umefaidika nini na hizo rasilimali, kuanzia miundombinu ya barabara plus kipato cha watu ni kibovu sana unless kama uko Zenji,
@Elsukay0@OboteL19623 We jamaa, 21/22 league ya misri ilichelewa kuisha, hivyo Bodi ya ligi ya misri ilipeleka majina ya timu za kushiriki kulingana na msimamo, kabla ligi haijaisha
@Professionature@Vitabu247 Ushawah mulika tochi angani, ili uone Mwanga lazima kuwe na kitu cha kureflcet
( kwenye space hakuna molecules za kureflect light ndo maana ni peusi)
๐จ๐ฃ UPDATES ๐
โก๏ธ Singida Black Stars ๐น๐ฟ imekamilisha usajili wa kiungo Clatous Chama (34) ๐ฟ๐ฒ kama mchezaji huru baada ya kuachana na Young Africans.
Amepewa mkataba wa mwaka mmoja.
โ It's all Done & Sealed ๐ ๐
Kuna hii mbinu niliitumia 2023 Nikiuza simu Whatsapp natumia hadi leo kwenye mishe zangu nyingine
Ngumu sana, matokeo yake unaweza usipate haraka ila kama unaanza inaweza kusaidia KuScale biashara moja ikakupa vipato 2-5 kwa mteja huyo huyo mmoja.
๐งต๐
Kuna namna nimejifunza kuwa mtu makini na mwenye kujenga focus!!
Mambo haya unatakiwa kuyafahamu ili biashara yako ISIFE au KUDUMAA!
1. Hakikisha kuanzia mwezi huu wa 7 unaanza kutafuta ada ya mwanao/wanao kwa Mwaka mzima ujao na ulipe yote.
2. Fedha ya Kodi ikae kwenye acc yake pekee ambayo inawekwa kila mwezi. Na mwezi wa malipo ukifika, lipa ya Mwaka mzima. Huku ukizingatia kwamba Pango la nyumba linatakiwa kuwa 30% ya kipato chako.
3. Hakikisha Kodi ya eneo lako la biashara linatengwa kwenye acc yake tofauti pia ili ukusanye pia.
4. Hakikisha una budget ya matumizi ya nyumbani ya mwezi. Hii itakusaidia kutenga pesa ya matumizi ya nyumbani ya Kila siku.
5. Hakikisha unalipwa Mshahara kutoka kwenye kampuni/biashara yako na unakatwa NSSF ili ukistaafu upate mafao yako, na Watoto wako waendeleze ulipoishia.
Hayo ni mambo machache kuhusu KUJENGA NIDHAMU YA FEDHA ili ufanikiwe kuikuza biashara yako.