Skyworth wameleta Qled ya inch 43 wale gamers ambao hamna budget kubwa hii inawafaa sana
mzigo una
Eye care,
HDR 10+,
refresh rate 120hz
Dolby Audio
590,000 tu
Call/whatsapp-0625965198
moja kati ya biashara bora sana ukiwa timamu lakini,
kwa mtaji wa million 6.5 unaweza kufikisha hivi viazi dsm kwa mchanganuo ufuatao.
1. viazi gunia kwa sasa mbeya ni 45K ambapo hela ya kuwalipa wachimbaji na kununua mifuko pia utatoa wewe, wachimbaji 3k kwa kila gunia
Kilimo cha #SKIMU ni cha uhakika maji na miundombinu yake ni uhakika 98%,
Ukilaza eka 20 tu una uhakika wa gunia 800
~Gharama za eka mpaka kuvuna 1.5M
~Mavuno gunia 30~40
~Uhakika wa soko
~kilimo cha kisasa cha tija
๐kupata shamba ngumu.
#MbuyuniskimuMbaraliMbeya
Kuna anavuna mpunga, mwingine anapanda mahindi ya GOBO hawa wote maombi hayawezi kufanana yupo anasema mvua isimame, mwingine inyeshe kwa wakati mmoja. Hapo ndo unaelewa kwanini Mungu haonekani kwa macho angepewa kazi ngumu sana kuamua na kumridhisha kila mtu ๐