48 teams have played and Amad Diallo has the most dribbles completed at this World Cup so far.
He came on as a substitute and played 34 minutes 🤯
Complete baller 💨
G-55, Mandela, na Safari ya Kujisafisha Chadema: Tunakoelekea Ndiyo Tunakostahili Kuwa
Kitendo cha kundi la G-55 kujiondoa ndani ya CHADEMA kimeniamsha fikra juu ya jambo la msingi sana kuhusu uhai wa vyama vya siasa—kuwa si kila msongamano ni mshikamano, na si kila idadi ni nguvu halisi.
Nilijikuta nikikumbuka mwaka ambao CHADEMA, chini ya Katibu Mkuu wa wakati huo, Dkt. Wilbrod Slaa, ilifanya mikutano kadhaa ya ndani. Wakati huo huo, Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) Wilaya ya Ubungo lilikuwa na kongamano maalum katika Ukumbi wa Landmark Hotel. Mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Miongoni mwa wazungumzaji wakuu alikuwa Mwanasheria wa chama—Tundu Antipas Lissu.
Katika hotuba yake, Lissu alitumia mfano wa kihistoria kutoka Afrika Kusini, akimnukuu Nelson Mandela na harakati za ANC dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi (apartheid). Mandela, kwa mujibu wa Lissu, alikuwa mkali sana katika kuhakikisha kuwa mapandikizi yote ndani ya ANC—Waafrika waliokuwa wakifanya kazi kwa maslahi ya serikali ya Makaburu—yanang’olewa bila huruma. Hili liliwezesha harakati za ukombozi kuwa safi, imara na za kweli.
Lissu alisisitiza kuwa CHADEMA pia ilikuwa inapitia kipindi kama hicho: mapambano dhidi ya mfumo dhalimu hayangefanikiwa ikiwa chama kingeendelea kubeba mizigo ya watu walioko ndani lakini roho zao ziko nje. Kwa wakati huo, aliyekuwa kinara wa tuhuma hizo alikuwa Zitto Kabwe.
Leo hii, tukirejea msimamo wa #NoReformNoElection (NRNE)—ambao ndiyo dira ya sasa ya chama—ni dhahiri kuwa Tundu Lissu, akiwa Mwenyekiti, ameendeleza kwa ujasiri falsafa ile ile: CHADEMA lazima kijisafishe. Lakini tofauti na kutumia nguvu au vurugu, chama kinajenga mazingira ya ndani ambayo yanawalazimisha wenyewe kujiondoa. Wamejitoa kwa hiari, lakini si kwa bahati mbaya—ni kwa sababu ya moto wa misimamo ya kweli.
Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, CHADEMA ndicho chama pekee chenye upinzani halisi dhidi ya CCM na dola, na kinachobeba matumaini ya mamilioni ya Watanzania. Kwa hali hiyo, ilitarajiwa kuwa moja ya mikakati ya kimya ya dola ni kuvuruga chama hicho kutoka ndani kwa kupandikiza watu wa kuharibu dira na mshikamano wake.
Kwa mantiki hiyo, programu ya NRNE imekuwa kama nyoka anayejivua gamba—kujisafisha kwa njia ya asili. Kujiondoa kwa G-55 si pigo; ni neema. Ni hatua ya kuongeza usafi wa chama. Ni hatua ya kujenga msingi imara wa chama cha watu, si cha nyadhifa.
CHADEMA haipaswi kuwa chama cha wenye kiu ya ubunge, udiwani au uwakilishi. Inapaswa kuwa chama cha watu wanaoamini katika mabadiliko ya mfumo, hata kama wao hawatanufaika binafsi. Chama hiki kinahitaji watu walio tayari kupigania maslahi ya umma hata kama haitaleta faida kwao binafsi.
Kwa hiyo, kujiondoa kwa G-55 ni baraka kwa CHADEMA—ni nafasi ya kuimarika, kupendwa zaidi na kuvutia maelfu ya Watanzania walio nje ambao wanatafuta nyumba ya kisiasa ya kweli, siyo ya mahesabu binafsi. Ni nafasi ya chama kuwa chama cha watu wa aina ya Lissu—wanaoishi mbele ya muda.
CHADEMA inaendelea kuwa mwanga wa matumaini, na kuondoka kwa wale waliokuwa kivuli tu kumeifanya iangaze zaidi.
Anderson Ndambo
Mtetezi wa Haki za binadamu na Mchambuzi huru.
Anaandika Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, @Dr_DGwajima
Mwishoni mwa Machi 2025, mwanaume zaidi ya miaka 70 alifariki ghafla akiacha Mjane ambaye alikuwa safarini.
Kilichotokea: Ndugu wa Marehemu walimficha mjane huyo taarifa za msiba, wakauchukua mwili haraka haraka kuupeleka mkoani kijijini kwao na marehemu na kuzika haraka haraka. Mjane alikuja kupata taarifa kutoka kwa ndugu yake anayeishi huko alikoenda kuzikwa marehemu kwa kuwa walikuwa majirani.
Aidha, ndugu wa marehemu wanadaiwa kufunga nyumba na makufuli na kubeba pamoja nao begi lote lenye nyaraka zote za mali za marehemu.
Kinachoendelea ni mgogoro wa kiafya ikiwemo saikolojia ya mjane huyo huku maafisa ustawi wa jamii wakipata kazi ya ziada ya kutoa msaada wa huduma za ustawi, kuratibu huduma za afya na msaada wa kisheria. Kesi Iko Polisi.
Ujumbe kwa jamii: Yote haya yasingetokea iwapo kungekuwa na WOSIA ulioandikwa kwani, mazingira haya ni dalili zote za wasiohusika kutaka kuhujumu mali za urithi.
Matukio kama haya yako mengi sana .......
Hitimisho: watanzania, jifunzeni kuandika wosia, sikieni sauti ya elimu hii.
OPINION BY @seifkabelele: HOW DR DOROTHY GWAJIMA IS REDEFINING POLITICAL ENGAGEMENT IN TANZANIA.
For far too long, political figures have maintained a distant, often unapproachable aura, limiting their engagement with the very people they claim to serve. However, in Tanzania, one leader is breaking the mold—Dr Dorothy Gwajima (@Dr_DGwajima), the Minister of Community Development, Gender, Women, and Special Needs. Her innovative use of social media is not just refreshing; it is revolutionizing the way governance interacts with the public.
READ: https://t.co/zZp7Jilmbu
Tarehe 1/12/1955, mwanamama Rosa Parks alikataa kumpisha kiti abiria mzungu kama sheria ilivyokuwa inataka.
Baada ya kukamatwa kwake, zaidi ya raia weusi 17,000 walijitokeza ku-boycott maBus ya Alabama.
Je, tukio hili peke yake lilikomesha ubaguzi wa rangi Marekani?
Jibu ni hapana.
Tukio la Rosa Parks lilileta chain reaction ya mengi ikiwemo battle mahakamani lakini pia huge civil rights protests kila kona ambayo kwa pamoja yalichangia mabadiliko.
Hili la @ChademaTz kukataa kushiriki kwenye uchaguzi bila reforms lakini pia kunuia kuuzuia usifanyike kwa kiwango chao ni event muhimu katika movement.
Ni muhimu kuliko kushiriki tu huku ukijua wazi yaliyotokea 2019, 2020, na 2024.
Amad Diallo is starting to become THE man at Manchester United. The streets already knew he was a big-time baller, but he’s had to patiently wait for his opportunity since arriving at Old Trafford. Now, the wings of the Theatre of Dreams are his own. He gave United an iconic moment with his winner against Liverpool in last season’s quarter-final, helping them march on to silverware. But this season, the Ivorian has truly kicked on - 16 goal contributions already. And yet, Amadinho’s game has been about more than just numbers. He’s become a fan favourite and a real jewel in Rúben Amorim’s side since his appointment. The kind of player who gets you off your seat - or makes you rewind in sheer disbelief at what you’ve just witnessed. And at just 22, there’s still plenty of room for him to grow. Looking for a player to shine in the fourth round? You’d be Amad not to back Diallo.
His time is now.
#EmiratesFACup
"We don't have a problem of entrepreneurship in Africa... We have not put in place the ecosystem to support startups."
That's billionaire businessman Strive Masiyiwa at the @WEF in Davos last week
His argument: Founders in Africa need more capital & support
Agree or disagree?
Mama Maria: Nashukuru uchaguzi wa CHADEMA umeenda vizuri.
Mimi: Nikiulizwa niseme hayo?
Mama Maria: Hayo ni mawazo yangu binafsi. Subiri uulizwe, siyo unaanza wewe, kama vile mimi mganga wako wa kienyeji.
Sijaulizwa lakini nadhani muhimu kusema. Nasubiri kuitwa kujieleza.
Akijibu swali la @awamisammy kuhusu kuitwa MWANAHARAKATI, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema kwake kumuita Mwanaharakati ni kumheshimisha tofauti na kumuita mwanasiasa kwani wanasiasa wengi wana sifa ya uswahili na uongo uongo.
Credit | @bbcswahili#KÐ