VIDEO:
"Shughuli za kibiashara zinaendelea kila mahali wananchi wamejitokeza wa kutosha kwenye maeneo kadhaa lakini maeneo mengine wananchi wameamua kupumzika...kimsingi ni kwamba tuko timamu tuko gado tuko rada kuhakikisha uhalifu wa aina yoyote Tanzania tunautokomeza"
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi leo Julai 7, 2026 akizungumza na vyombo vya habari juu ya hali ya usalama nchini.
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitaendelea kusimamia na kudumisha utamaduni wa walioachiwa na Maalim Seif Sharif Hamad wa kujenga maridhiano na umoja wa kitaifa.
Hayo yameelezwa na Katibu wa Habari Uenezi na Mahusiano na Umma, Salim Bimani leo Julai 8, 2026 kupitia taarifa aliyotoa juu ya chama hicho pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM) tutasaini na kutoa Tamko la Pamoja litakaloweka wazi hatua wallizokubaliana ili kuukwamua mkwamo wa kisiasa uliojitokeza kufuatia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 Zanzibar.
โTunamtanguliza Mwenyezi Mungu kwa kuwajalia viongozi wa pande zote mbili busara ya kipekee ya kuigeukia meza ya mazungumzo badala ya uwanja wa mifarakano.โ
Chama hicho kimeleza kuwa pamoja na changamoto walizowahi kukumbana nazo huko nyuma, msimamo wao unabaki thabiti kuwa Zanzibar ni kubwa kuliko chama hicho na ustawi wa Wazanzibari una thamani kubwa kuliko vyeo na madaraka ya viongozi.
Hata hivyo ACT Wazalendo @ACTwazalendo imeahidi kutosimama wala kurudi nyuma katika kuifuata njia ya maridhiano, ukweli, haki, uwajibikaji, umoja wa kitaifa, na maendeleo ya kweli.
โผ๏ธMAPOLISI NA WATEULE WA IDD AMIN MAMA WAMETUMIA MAANDAMANO KUTAPELIWA WAFANYABIASHARA NCHINIโผ๏ธ
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeliwa Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol Stations.
Kila wilaya hasa zile ambazo zipo kwenye maeneo ambayo kuna muamko mkubwa wa Wananchi juu ya kudai mabadiliko wamekamuliwa pesa kwa lazima.
Mfano kwa hapa Dar es salaam tu maRPC na maOCD waliwaita Wamiliki wa Petrol Station zote kisha wakawambia lazima kila mmiliki wa Petrol Station atoe milioni tano (5, 000, 000) kwa ajili ya ulinzi siku ya Maandamano ya 7/7 yani Leo eti ili wasichomewe vituo vyao so Wamiliki wa Petrol Station kila mmoja katoa milioni 5 ambazo walikuwa wanakusanya maRPC na maOCD.
Wakati huo Wakuu wa Wilaya zilipo Dar es salaam wamechukua laki moja moja (100,000) kutoka kwa wamiliki wa Maduka yote yaliyopo kwenye Wilaya zao, kwa kisingizio kwamba watawapa ulinzi wa Askari wenye bunduki ili walinde madukani yao.
Huu mkeka nilioweka hapa, hawa ni baadhi ya Wafanyabiash wenye Maduka ya Jumla Manzese ambao wamekamuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Wafanyabiashara na nyie saa nyingine ni miyeyusho sana hivi unakubalije kutoa pesa kirahisi kila rahisi ivo wakati Polisi wanalipwa mishara na kazi yao ni kulinda raia na mali zao..?
Mimi nilikutana na mfanya biashara mmoja aliniambia hayo siku moja akasema watu wamewekeza mabilioni atashindwaje kutoa hiyo laki maana wana walinzi wao pia na sungusungu wote wanawalipa
โผ๏ธMAPOLISI NA WATEULE WA IDD AMIN MAMA WAMETUMIA MAANDAMANO KUTAPELIWA WAFANYABIASHARA NCHINIโผ๏ธ
Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka.
Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeliwa Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol Stations.
Kila wilaya hasa zile ambazo zipo kwenye maeneo ambayo kuna muamko mkubwa wa Wananchi juu ya kudai mabadiliko wamekamuliwa pesa kwa lazima.
Mfano kwa hapa Dar es salaam tu maRPC na maOCD waliwaita Wamiliki wa Petrol Station zote kisha wakawambia lazima kila mmiliki wa Petrol Station atoe milioni tano (5, 000, 000) kwa ajili ya ulinzi siku ya Maandamano ya 7/7 yani Leo eti ili wasichomewe vituo vyao so Wamiliki wa Petrol Station kila mmoja katoa milioni 5 ambazo walikuwa wanakusanya maRPC na maOCD.
Wakati huo Wakuu wa Wilaya zilipo Dar es salaam wamechukua laki moja moja (100,000) kutoka kwa wamiliki wa Maduka yote yaliyopo kwenye Wilaya zao, kwa kisingizio kwamba watawapa ulinzi wa Askari wenye bunduki ili walinde madukani yao.
Huu mkeka nilioweka hapa, hawa ni baadhi ya Wafanyabiash wenye Maduka ya Jumla Manzese ambao wamekamuliwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.
Wafanyabiashara na nyie saa nyingine ni miyeyusho sana hivi unakubalije kutoa pesa kirahisi kila rahisi ivo wakati Polisi wanalipwa mishara na kazi yao ni kulinda raia na mali zao..?
Inasikitisha sana kama kweli deal hii imeondoka Tanzania. Shame, shame, shame! Tumepoteza fursa ya kipekee na smart deal ambayo ingeweza kuleta manufaa makubwa kwa Nchi. Nimeumia sana.
Mfanyabiashara wa Nigeria, Aliko Dangote amethibitisha mipango ya kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta nchini Kenya kitakachogharimu kati ya dola za Marekani bilioni 15 hadi 17 [TZS trilioni 44.6].
Kiwanda hicho kinatarajiwa kuzalisha bidhaa za mafuta kwa ajili ya soko la Kenya na nchi za Afrika, hatua inayolenga kupunguza utegemezi wa mafuta yanayosafishwa kutoka nje ya Afrika.
Muda ni mwalimu ngoja tufike tuone nani amekosa mapato kati ya serikali inayotegemea kodi na mwananchi anaye jitafutia riziki yake kwa nguvu na akili alizo pewa na mwenyezi Mungu
Serikali haiwezi kupoteza mapato, wanaopoteza mapato ni wananchi. Kitu ambacho wanaharakati na wapinzani uchwara hawakijui ni kwamba; sasa wananchi wanawachukia wao na wanazidi kuwachukia Kwasababu wanawakosesha mapato, amani na uhuru wao.
Mwisho wa Mange na Maria u ukingoni.
VIDEO:
"Hakuna taifa ambalo likipoteza amani yake inarejea kirahisi...niwaombe sana wazazi wote Baba na Mama, Kaka, Shangazi, Mjomba mkanye mwanao mwambie jinai hailipi na bahati mbaya sana jinai haiozi. Ukifanya leo kosa linai ukidhani mjanja haujakamatwa leo basi kesho hautakamatwa lakini si keshokutwa tutakukamata"
Hayo ameyasema Waziri wa Mambo ya Ndani Patrobas Katambi akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 6, 2026 akiwa yanapofanyika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Viwanda na Biashara (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
DAR: Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed amesema hayo Julai 6, 2026 katika Ofisi za NECTA wakati akitangaza matokeo ya Kidato cha Sita (ACSEE) na Ualimu 2026.
Ameongeza kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule umefikia asilimia 99.92, huku kukiwa na ongezeko la waliopata daraja la kwanza (Division One) hadi asilimia 54.1 ikilinganishwa na asilimia 48.6 ya mwaka 2025.
Fuatilia zaidi https://t.co/Aw7btiK5Ju
#JamiiForums #Elimu
TAZARA inatakiwa Ijaribu Kubeba Hivi sikumoja, Niliona mkenya mmoja akisema SGR ya Tanzania haiwezi kabisa kubeba hivi (According to Design) ila TAZARA inaweza.
Chamuhimu hiyo Locomotive inanguvu sana aisee.