@rose_mayemba Dada Rose kumbe ni kweli unaenda, Msigwa role model wako keshapotea alifikiri yeye ndio ameishikilia CDM amebakia na mipasho, wamwandalie malori ya kubeba watu tuuπππ
CDM sio mali yangu na wala hatakaa iwe mali yangu, ila inasimamia misingi ya haki ambayo kila mpenda haki anastahili kujiunga humo, sasa kutete mtu anatetea watu wapenda uovu unakuwa unakosa sifa za kujiita CDM. Unakuwa popo hujulikani wewe ni mnyama au ndegeππ
@rose_mayemba Wasaliti bora wajiendee tuu, kwani huyo Zitto anashikilia hilo jimbo kwa sasa, au sasa unaamini kuwa kulikuwa na uchaguzi? Msigwa alianza hivi na mipasho wewe nenda uendako usipate shidaπππ
@Getrude_mollel@420Cousin @__abdulazack Swali hivi mshindani wako anapoharibu si ndio furaha kwako mbona tena mnalalamika nyie tena au ndio kinyume chake?ππ
@massawejk Sio kweli unaweza kuwa mpambanaji hata bila kuwa na fedha, cha muhimu ni kuwa na uzalendo unaotokana na hofu ya Mungu kwa kuwa Mungu ni mwenye haki.