Maafisa wa Israel wanasema kuwa “zaidi ya droni kumi na mbili” za Jeshi la Anga la Israel (IAF) zimeangushwa juu ya anga ya Iran, huku wakikadiria hasara kuwa kati ya ndege zisizo na rubani 10 hadi 20.
Jeshi linasema hasara hizo zinakubalika, likieleza kuwa droni zinatumika kupunguza tishio la makombora ya balestiki yanayolenga maeneo ya ndani ya Israel.
Droni za gharama nafuu hutumwa kimakusudi kwenye misheni zenye hatari kubwa, huku ikieleweka kuwa huenda zisirudi, ingawa katika tukio moja droni ilifanikiwa kurejea salama.
Hakuna ndege za kivita za Israel zilizopotea, licha ya kukutana mara kwa mara na mifumo ya ulinzi wa anga, ikiwemo tukio moja ambapo rubani alikuwa kupotea
MENO KUTOBOKA (DENTAL CAVITY )
Zifahamu Dalili, Sababu, wanao Adhirika zaidi, na Hatua zakufwata kuzuia meno kutoboka.
Uzi🧵
Retweet🔄 LAKE👍 Torn on notification🔔.
👇
HIZI ni Video 10 kutoka YOUTUBE zitakazobadilisha MAISHA yako zaidi ya degree ya miaka 4.
Madini time...🧵
RETWEET Iwafikie Wengi 🙏
📌 #10 will blow your mind