Karibu Tanzania Nchi ya Haki na Amani, nchi inayofuata Sheria na kukatibisha watalii na wawekezaji waje kuwekeza Nchini kwetu ili tuendelee😔😭.
Tuna safari ndefu, mpige ya kichwa pige ya Kichwa!
"Kama wanadhani kumkamata Mwenyekiti wetu @freemanmbowetz kitapunguza nguvu za harakati zetu za kudai katiba mpya wajue wanajidanganya. Mbowe ni Mwenyekiti wetu na tutampigania hatua kwa hatua, na wakati tunampigania hatutaacha ajenda ya kudai katiba mpya" Hashim Juma Issa
He spent 5 years setting the board for ECONOMIC, POLITICAL and SOCIAL FAILURE.
She needs to realise that and start playing a different strategy.
Wallahi Kipanya is a GENIUS.
Respect ✊ to him.
Why is there HUGE vaccine hesitancy in #Tanzania ?
Because in February THIS YEAR the Minister of Health (was and STILL is) made this “educative” video with her husband - rolemodeling ‘alternative’ means incl streaming to prevent and fight COVID19
Never apologized - no MEA CULPA
Zimwi limevaa headphone ,linapokea taarifa kuhusu kila kete anayofikiria kuisukuma mama , zimwi linahitaji damu Kwa njia ya mtutu,zimwi limevaa kofia ya Mataga,Kipanya anamstua mama lakini mama hageuki wala kutazama ishara.....wewe unaitafsiri vipi katuni hii ya Kipanya ?
Natumaini vyombo vyetu vya habari vimejifunza kutoka kwa @Apollo_Boniface na @IAMartin_ ambao wame-live tweet [tena kwa Kiswahili sanifu] mwenendo wa kesi ya Mbowe na Wenzake kwa zaidi ya wiki mbili mfululizo wakati waandishi wetu wanasubiri jaji ahairishe kesi waandike habari.
"Ukizungumzia haki za binadamu au haki za Watanzania hauwezi kukwepa kuzungumzia Tume Huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya. Ukiongelea haki, umezungumzia yote hayo kwa ujumla wake" Hashim Juma Issa, Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa @ChademaTz#MkutanonaWanahabarileo#SikuyaWazeeDuniani
Nilikuwa najiuliza kwanini Wakili wa Serikali wakat amuuliza maswali Adamoo alikuwa kapanic sana leo nimepata jibu kumbe wajuba walimfuata Adamoo gerezan wakamwambia akubali makosa yote watamnehemesha, Adamo akawaambia sawa ila mwisho wa siku alivofika kizimban akawakataa.😂😂😂
Hivyo hapa unazungumzia kesi ndogo gani ambayo inatolewa uamuzi Oktoba 19 ambayo kesi yake ya msingi bado?? MaCCM mnajikuta wajuaji sana.. Hizo 'sarcasm' hazina faida kwenye masuala yenye kuhusu haki za mtu zinazoporwa. Unajiongelesha kama umeona bia za ofa..