@DotoMatembo@kingtaryazmedy@Nnauye_Nape Kupanda bei kwa vyakula wala co petrol, ww chukua jembe kalime tu ndugu yangu km hujaja hapa kuwa bei za vyakula zpo chini.
@skool_tz@bbcswahili Ww unajua kp aliongea hadi wakamchagua,hata magufuli uliona mbaya lkn majiran zako waliona ndo anafaa.acha uchambuz mwingi kwa raisi asiyekuhusu.ww endelea na ukosoaji kwa bi mkubwa.
@MichaelMgihilwa@SuluhuSamia Ww unaonekana huna biashara yoyote. Hapo kwenye makadilio makubwa umechemka na ishu ya kodi hulipwa kwa vpnd vnne.hiyo kidogo ipi unaisema!.
@Mwanahalisitz@HildaNewton21 Mm kwa upande wangu ninachojua jobo amejiuzulu.amejiuzulu vp hayanihusu.hata km angekua ameielekeza kwa katibu wa chadema ili mradi bunge limepata copy na kukubali na yy yupo kimya.
@godbless_lema Sasa huyu lema ya ccm yanamhusu nn?, Yale Yale ya ndugai kuingilia ya chadema.hata km hawafuati katiba yao hurusiwi kutia hata neno ambaye co mwanachama.
@HildaNewton21@allysalehznz@ACTwazalendo Uhuru serikalini hauna maana yoyote km hauna Uhuru kwenye chama kwasababu chama ndo kinaunda serikali. Ni vizur sana marekebisho ya katiba ya nchi yangeanzia kwenye marekebisho ya katiba ya vyama vya siasa ili vifanane.
@KShengelo@KitundaFredy@mobenjamin86@HildaNewton21 Kumbe na ww n mpumbavu.vita ya friend match uliwah kuckia wap.huyo n comedian na alipewa nafac hiyo ili watu wacheke na cku ipite. Na cku ilipita kweli.