@bajabiri Hii dhahabu ingekua na maana sana kama kuna namna serikali kupitia BOT ingekua inainunua kwa madafu kwa kiasi kikubwa then Gavo inaitumia against USD kwenye Imports.
"Wizara ya vijana"
How is that practically?
Vijana needs health services, education, jobs, financing, and infrastructures.
There are ministries for those needs.
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jenifa Omolo kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana.
Kabla ya uteuzi huo, Omolo alikuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha.