@eastafricatv Hizi kampuni zimegundua udhaifu flani kwa wanasheria wetu kutokana na wanavyoshindwa kufanya utetezi wanapoitwa huko. Sasa kila mmoja ni kufungua yake apate fidia.
@LDNFootbalI@Enzo13Fernandez There’s no such a thing the profiles of kante/ kovacic are more than enough a 120m player doesnt need a companion to show his worth
@Ireneigora@Sebastian_Esq Haina madhara bali manufaa zaidi changamoto znaweza onekana mwanzon mwa matibabu kwa mfno kuzoea kuzungumza,na kuongea nazo zkiwa mdomon lakini ni kitu cha muda mfupi na kinazoeleka ndo maana watu wanazo vinywani mwao