Siyo UBINADAMU hata kidogo kuwa na WATU WALIOKUFA tangu tarehe 29 Oktoba 2025 na mpaka sasa HAWAJAZIKWA. Kwa kuwa Serikali INAKIRI watu kufa, basi IWAPE FAMILIA MAITI ZA NDUGU ZAO WAKAZIKE.
"Kukusamehe ni hiyari yake, kuomba msamaha ni wajibu wako. Kuishi na deni la samahani kwa uliyemkosea ni mzigo mzito. Usikubali kuubeba ukuelemee. Wewe tua mzigo wako, mtwishe mzigo wake." ~Togolani Mavura.
Tumewaambia MARA NYINGI (Time Without Number) kwamba; KATIBA HIYO 👇 HAIFAI, lakini MKASHUPAZA SHINGO. Kwa MAZINGIRA ya sasa, HAKUNA kitu MNAWEZA KUFANYA, isipokuwa KUIHESHIMU hiyo 👇 KATIBA. 😂😂
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025
Kwa: Gen Z na watu wote.
Yahusu - Mwendo wa Haki na Ukweli
Machalii na wasee wangu wote,
Natumai mko poa.
Hii message iko straight forward, hakuna kuzunguka,
ACHENI KUMFOLLOW SAA HII , huyu Mwigulu Nchemba.
👉 Unfollow kwa platform ZOTE , IG, X, TikTok, YouTube, kila mahali. Sababu iko wazi, anaongea bila facts, anapotosha watu,
na hajali haki ama ukweli.
Sisi kama Gen Z na wananchi hatuwezi endelea kupea mtu clout wakati anauza uongo.
Hii si chuki, si beef ya kibinafsi , ni simamo ya pamoja.
👉 Unamfollow = unaongeza kelele.
👉 Unam-unfollow = unasimamisha upotoshaji.
Chukueni hii kama direction ya mtaa na ibada takatifu. Mwendo mmoja, lengo moja.
Asanteni kwa kuskia na kuchukua hatua.
Post na sambaza matokeo.
Wenu katika ujenzi wa haki,
God bless Lema
##RWANDA: RWANDA YASHUTUMU DRC NA BURUNDI KUVUNJA MAKUBALIANO YA WASHINGTON
Taifa la Rwanda limeshutumu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi kwa kukiuka Makubaliano ya Washington, mkataba wa kusitisha mapigano uliosainiwa wiki iliyopita chini ya uratibu wa Rais Donald Trump.
Kigali inadai kuwa majeshi ya Kongo na Burundi, yakisaidiwa na wanamgambo washirika, yalifanya mashambulizi ya kuvuka mpaka katika eneo la South Kivu, na kulazimisha waasi wa M23 kujibu mashambulizi hayo.
Mapigano hayo yamesababisha zaidi ya raia 1,000 kukimbilia Rwanda, hususan katika Mkoa wa Magharibi, ambapo wanahifadhiwa katika Kambi ya Mpito ya Nyarushishi.
Rwanda pia inadai Burundi imetuma maelfu ya wanajeshi kusaidia operesheni za Kongo, hali inayoongeza mvutano.
Shutuma hizi zimeibuka siku chache tu baada ya kusainiwa kwa mkataba wa amani, na zimeibua mashaka kuhusu uimara wake huku kukiwa na hofu kwamba mapigano mapya yanaweza kuyumbisha tena eneo la Maziwa Makuu.
Kusema KWELI; kwa mazingira ya sasa, tunahitaji KIONGOZI kama ALBERT CHALAMILA ambaye ukisikia KAULI zake inabidi UKANYWE PANADO ili KUPUNGUZA MAUMIVU YA KICHWA. Tumpe 💐🌹🌷 yake tafadhali.😂😂
Ukombozi unahitaji nguvu ya umma. Umma wetu muda huu unafuatilia zaidi harusi za wasanii, matukio ya burudani na michezo kuliko vikao vya bajeti vinavyoendelea muda huu ambavyo, vinagusa maisha yao moja kwa moja kwenye kila nyanja. Hiki ndicho kinatutofautisha na majirani zetu.
*CHANGIA CHAMA ILI TUONDOKANE NA HAWA WAKOLONI WEUSI.*
■VODA **150**00#
Nenda namba moja ingiza namba ya kuchangia 0744446969 weka kiasi kisha weka namba yako ya siri
Jina:CHADEMA HQ
■TIGO **150**01#
Nenda namba moja kisha nenda mitandao yote ingiza namba ya kuchangia 0744446969
Jina:CHADEMA HQ
■AIRTEL *150 * 60#
Nenda namba moja kisha mitandao yote weka namba ya kuchangia ambaoyo ni ya voda 0744446969
Jina:CHADEMA HQ
■HALOTEL *150 * 88 #
Nenda namba moja kisha nenda mitandao yote weka namba yetu ya voda ambayo 0744446969
Jina:CHADEMA HQ
*Weka Tone Tone lako hapo kwa maslahi ya chama chetu na Nchi yetu,Makamanda ujumbe huu usambae kila kona.*
#NoReformsNoElection
Serikali ya @SuluhuSamia iko vitani dhidi ya chama chetu.
Walimkamata Mwenyekiti na kumpa kesi ya uongo.
Walifungua kesi ya uongo kutumia viongozi wa zamani kutoka Zanzibar.
Sasa msajili ambae yeye ndio anaandika barua ya kutushitaki alafu yeye anatoa huku kwenye barua yake.
Hana mamlaka hayo kikatiba na kisheria yote anayofanya ni batili
Chama chetu kitashinda vita hizi zote.
Watanzania na wanachadema msiogope, wanaogopa chama chetu kwasababu yenu kwasababu mnakipenda na kukiamini chama hiki. Endeleeni kutuamini tuko imara hakuna kurudi nyuma.
#NoReformsNoElection
Tunajenga Makao Makuu ya chama kwa Tsh. Bilioni 34, kwani makao makuu ya sasa yana tatizo gani? Tuboreshe utendaji wa chama kwa kuimarisha usimamizi wa itikadi yetu, sio kujenga majengo huku tukiwa na utendaji mbovu.
Bishop Gwajima kachoma kichaka watu wanatafutana huko dadeki! 😎
NB: Sema angetoka mapema maybe angesaidia kuokoa watu wengi . But never too late,kazi nzuri ya nchi Askofu🙏🏾
#NoReformsNoElection
Enyi CCM na DOLA, hivi kweli mnaona COMMENTS za WATANZANIA kwenye page zenu kila mnapoposti au hata kupostiwa ONLINE?! Very SCARY!
#NoReformsNoElection#FreeLissu#FreeMdude