Msc, Bsc (Sustainable Agriculture, General Agriculture) NMAIST Arusha, SUA Morogoro. Recturer, Researcher and Agricultural consultant| Founder of STC Limited
@privaldinho Hakuna magic ya kutisha pake Okra aliletwa jukwaani kwa kubebwa kwenye kile kimuimbali cha kuhutubia na kilichofanyika baada ya kufunika na lile shuka la yanga Okra akatoka akajificha yule chalii
@JamiiForums Waachane na hiyo mibasi ya kutumia mafuta wabadilishe mfumo tutumie umeme kama wa kwenye train vile kwasababu namna njia ya mwendo kasi ilivyokaa ni rahisi sana kufanya installation yake
@SAUSIFANUEL@nhiftz Au unaenda hospital unaambiwa kipimo cha Malaria kwa mkoa huu bima halipi inabidi ujilipie. Ukiuliza kwa nini jibu eti mkoa huu hauna Malaria. Ok, sawa sasa kama ndio nimefika leo kutoka mkoa wenye Malaria na nimeanza kuumwa hapa inakuaje? @,@nhiftz