_*Day274*_
Utegemezi ni asili, hatari ni kuzifunga fikra binafsi kwa yale ilifaa uwe mwamuzi mkuu, nguvu ilondani yako ina usahihi sana wa maisha yako, muombe MUNGU aiimalishe fikra zako,kuiskia sauti ya ndani nasiwatu wa nje ambao huzaa majuto.
#Unboxmind.......seeUday278
_*DAY271*_
Tafta sababu ya kile unafanya ikupe nguvu ya kuendelea bila kuangalia vikwazo na changamoto njiani hadi litakapo timia lengo
* With purpose, you won't get tired knocking doors unless you find the right pass*
#Unboxmind.......seeUday 274
_*DAY267*_
Tulivyo si sawa na tunavyo jitizama kwa ndani, mda mwingi tunaumia kwa kusema sina mtu wa kunishika mikono,hebu tujitahidi isiwe wakati tunaopitia ukajirudia hata kwa vizazi vyetu. Jipambanie kuitengeneza kesho isiyo na kulalamikiana
#Unboxmind.......seeUday271
_*Day264*_
*costs save time, brings achievements( success), and the vice versa is true*
Kufanikiwa ni gharama kama ilivo kutofanikiwa...tukikwepa gharama kuna namna tunajiweka mbali la nafasi ya badiriko lenye manufaa zaidi.
#Unboxmind.......seeUday267
_*DAY260*_
Kuwaza umeshindwa katika kile uliamini utaweza ndio wakati mbaya zaidi kwa mtu, huonekana kama ni kawaida lakini hisia hii HU UA kabisa sehemu kubwa ya mawazo chanya yenye kuleta ufanisi.
Muamini MUNGU nyakati zote bila kuliacha kusudi
#Unboxmind.......seeUday264
_*Day257*_
maturity comes up with disappointment, rejection, downlooks, discourages & related things aiming to push you out of the line. Let them come, but stay strong and readily strong to conquer, knowing your victory is ahead after all challenges
#Unboxmind.......seeUday260
*_Day253*_
Mshawishi mkuu kwa kile unachomiriki kufanya kiwe bora sana, bora, kawaida, au hakina maana yoyote kwa watu ni wewe. Ili kiwe unavotaka pima MUDA, NGUVU, HAKILI, MALI, ulizowekeza kwacho ( self evaluation matters for individuals growth)
#Unboxmind.......seeUday257
_*Day250*_
Never quit
Instead,
1. Understand that GOD still has better, prosperous thoughts about you, then change your plans
2. Strengthen your focus
3. Believe in you
#Unboxmind.......seeUday253
HAPPY BIRTHDAY TO ME
_*Day246*_
Kujinasua kifungo cha udhaifu, ukipata ujasiri kujieleza kwa mtu mmoja unae muamini kwa asilimia kubwa kati ya wengi, hupatikana mwanzo salama kuondoka kwenye vifungo kuliko kuamini katika wewe pekeyako yapo mambo unahitaji mtu wa ziada.
#Unboxmind.......seeUday250
uncomfortable state. Yet in the end, those very conditions give the plant life.
In the same way, when we face setbacks but take them positively, they turn into our strength and become the turning point for our future success.
#Unboxmind.......seeUday242
_**Day238*_
From a science perspective, when we study germination and growth, we learn about the requirements for plant growth — the necessary conditions for germination. We usually call them "conditions" or "requirements." But the truth is, they put the plant in an👇
_*Day235*_
Zipo nyakati ngumu humfanya mtu kupoteza mwelekeo ikiwa hakuna usaidizi wenye kuleta tumaini la urejesho.Amini MUNGU akupaye nafasi kuona nyakati zenye kuumiza katika hizo hudhihirisha ukuu wake ikiwa utazidi sana kumtumainia YEYE pekee
#Unboxmind.......seeUday238
_*Day231*_
Maisha yaletayo mafanikio si kufahamu ama kufanya kila kitu, yapo mambo kwa kutoyafahamu hujenga *nidhamu* , *bidii* na *nguvu ya udhubutu* . ```Sihitaji kujua ama kufanya kila kitu bali kuziamini hatua zangu katika kile ninafanya```
#Unboxmind.......seeUday235
Create a new version of *YOU* by yourself, and stop attaching your growth to someone else's thoughts, abilities, position, etc.
#Unboxmind.......seeUday 231
_*Day228*_
Nothing emerges in emptiness
What I need:-
1. An idea
2. To strengthen my faith( to believe in me)
3. To believe in possibilities
4. To take action
👇
_*Day224*_
changamoto kufika palipo lengo si kwa sababu hatujui nini tunahitaji ila hoja kuu ipo katika MSINGI. Malengo huwa bora sana ikiwa iko nguvu ya ziada kukuimarisha wakati wa kuziendea ndoto
*in a wrong way you can't see where it end up*
#Unboxmind.......seeUday228
_*Day221*_
```without cost we have no identity```
Refer to the holy book scripture ..ISAIAH 53:5 IPETER 2: 24 " *But he was pierced for our transgressions, he was crushed for our iniquities; the punishment that brought us peace was on him, and by his wounds we are healed* ".
_*Day217*_
Ugomvi uloegemea hisia unakuwa mgumu kufikia hatima, inapojengeka dhana ya kila mtu apambane na maisha yake baada ya kutofautiana mitazamo. Kauli za hasira zipo mdomoni, jeraha lipo moyoni. weka wazi hisia usijali kuonekana dhaifu ama laa!
#Unboxmind.......seeUday 221
ni wazi kuwa si mara zote mambo huwa vile tunakusudia na si kwa sababu tunakosea yamkini si wakati sahihi hivo *ustahimilivu ni siraha kuulinda mpango.*
#Unboxmind.......seeUday217
_*Day214*_
Ni fahari sana pale unapokuwa sababu ya kuufanikisha mpango flani lakini ni vema pia kuwa na mtazamo chanya wenye kustahimili nyakati za huzuni wakati wa kutekeleza sehemu ya majukumu yako,👇