@fumbokhanJr Arsene Zola Yuko Sabu na anacheza na kuaminiwa na first eleven ya wydad na kacheza fainali lakin ujue hawawezi cheza wte kwa wakati mmoja Kuna mechi atacheza inonga na mayele nje atashangilia na kutoa maoni ili washinde "wale ni ndugu" huezi kuwatenganisha ni Kama Pogba na kakake
@IAMartin_ Jamn Kuna Dada zetu na ndugu zetu wanateseka walisitisha masomo na mpka Leo wameresume lakin @HESLBTanzania haijawalipa mpka sasa sjui wanataka wakadange make huko mtaan hawana mtetez kwakwel wanatia uzuni jaman๐ฉ๐ฉ
@MariaSTsehai@MwanzoTv@MwanzoTvPlus Jamn Kuna Dada zetu na ndugu zetu wanateseka walisitisha masomo na mpka Leo wameresume lakin @HESLBTanzania haijawalipa mpka sasa sjui wanataka wakadange make huko mtaan hawana mtetez kwakwel wanatia uzuni jaman๐ฉ๐ฉ
Hongereni sana Yanga kwa hitimisho la mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Historia mliyoandika katika safari yenu ya michuano hii ni kubwa na ya heshima kwa Taifa letu. Nawatakia kheri katika mipango yenu ya siku zijazo.
NENO KUTOKA KWA MATOLA, RWEYEMAMU
Kocha Mkuu wa timu za Vijana Simba SC, Selemani Matola na Mkuu wa Programu katika timu hizo, Patrick Rweyemamu mara baada ya kutangazwa kushika nafasi hizo wametoa neno la shukrani kwa uongozi wa Simba SC.
Hii ndo sifa yetu wana Simba Uungwana na Unyenyekevu
Wachezaji wetu ni waungwana.
Viongozi wetu ni waungwana hawatukani wala kudhalilisha watu hadharani.
Na mashabiki wetu ndo wamekithiri kwa uungwana.
Wana Simba tuendelee kuishi humu kwenye Uungwana kwa kuzingatia misingi ya mpira wa miguu, Misingi ya utu na bila kusahau misingi yetu ya kitanzania ya kuheshimu mkubwa na mdogo.
Sisi Wana Simba tumembwa kuwa mfano wa wengine
@Salym Tatizo ni kuruhusu majeshi kuwa na felia wengi na kukataa wasomi sasa wao hufikiri kila kitu ni kutumia nguvu, Aya wao wachache raia wengi hawafikirii hta hatari ya kuvamiwa na wingi wa watu.
@ahmed__ally hizo ni LAANA za mgunda, haiwezekan kijana mdogo Kama @AliKamwe amtukane mgunda kwamba andazi ni Bora kuliko kocha Bora huyu, ktk kipindi ambacho yanga unaihitaji sapoti kubwa.... ๐๐๐๐
Ukweli Mchungu Kwa wana Yanga..Alikuja Mukoko Tonombe akashindwa akaja Bangala akashindwa akaja Aucho akashindwa akaja Mudathiri Yahya akashindwa pia
anaitwa Mzamiru Yasin Kiungo bora kwa ss hapa Africa Magoli 10 Ligi Kuu, CAF CL magoli 6 na Assist 9 Ligi Kuu. Salute Kiungo Punda
Umesoma FEZA mdogo wangu, ni vigumu kuelewa kwa nini watu wengi wanafeli mitihani ya NECTA wakati wewe unaiona ni mirahisi kabisa.
Hata hivyo nimeipenda hoja yako na nakubaliana nayo kabisa!
@wizara_elimuTz@NectaTz
Kwenye Interview yake na Piers Morgan Christiano Ronaldo alisema duniani kuna Ronaldo wengi sana na wengine ni bora kuliko yeye lakini kinachomtofautisha yeye na Ronaldo wengine ni juhudi binafsi na kujituma
Inawezekana Tanzania kuna vijana wengi wenye ubora au zaidi kuliko Muzzamil Yassin lakini tofauti yao na Muzzamil ni juhudi, kujitoa na kujituma
@HusseinBashe Mh. @husseinbashe Soma hii niliipenda Sana baada ya mwanafunzi wangu kuniletea kitabu Cha mtaala wa nchini kwao India nimfundishe, embu ona wenzetu wanavowafumbua macho wananchi wao since childhood ๐