Ndoa nzuri zipo nyingi sana na ni za kuigwa, ila ni vile matukio ya hovyo ndio yanapata airtime kubwa mtaani. Sumu ni ile ile, kinachobadilika ni kijiko. Marry at your own risk ⚠️😂
Hata kukiwa kugumu kiasi gani, pambana bila kushusha utu wako. Kuna namba hazipigwi, kuna watu hawaombwi msaada, na kuna milango haibishwi. Bora kuchelewa kufanikiwa kuliko kufanikiwa kwa gharama ya heshima yako. 💪
🙋🏾♀️fam
kusema “mimi sifuatilii siasa” ni lugha nyingine, ya kificho, ya kusema tu “mimi siguswi na matatizo ya binadamu wenzangu.” huwezi kuipa mgongo siasa. maendeleo yenyewe ni mchakato wa kisiasa. penda siasa, chukia madaraka:
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi amesema ili kudumisha utulivu wa kitaifa, ni muhimu kwa vyama vya siasa, wanaharakati na serikali kukubali kusikilizana, kutambua makosa na kuyarekebisha.