Imekuwa Siku nzuri sana kuwa miongoni mwa waandishi wa Habari za Kidigital,Nimefurahia Sana siku hii ya Kwanza ya Mafunzo,Nimefunguka sana Akili na kile kinanipasa kufanya ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia
@AD_Abinallah#Digitaljournalists#Ustawisalamamtandaoni