IT by pro......Hustle nation ,passion Farmer
@yangas1935 @chelseaFC @realmadrid
You can't have a positive life with a
negative mind.
#ChugaBoy#BillNeenga
Kama Kwenye maisha yakoo Kuna Mtu unaweza kumuambia Hebu Weka 500,000 kwenye Account hiyoo week Ijayo Nitarudisha na Akafanya Hivyo.
Wewe Ushaanza KUWA TAJIRI BADO HELA TU.
IBADA YENYE NGUVU YA USIKU KWA KUTUMIA CHUMVI
Chukua chumvi kidogo (aina yoyote ya chumvi ,Ila isiwe ya kiwandani) . Ishike mkononi mwako kisha sema maneno haya:
“Ewe Nguvu ya Asili, linda njia yangu na ndoto zangu.
Popote ulipo msaada wangu niliokusudiwa, ulimwengu uutume na uuongoze uje kwangu.
Kwa kutumia chumvi hii, ninafungua na kuiachia huru njia yangu.”
Baada ya kusema hivyo:
🔹 Mimina chumvi chini kwenye ardhi.
🔹 Simama juu yake kwa miguu yako miwili.
🔹 Tamka nia zako au maombi yako.
Kisha nenda kulala.
Jaribu kwa siku kadhaa na uone mabadiliko.
Ama acha utakanyaga ya mwaposa🥸
Bro Code 101
Usile au usinywe kupita kiasi mahali ambapo hukuchangia..
Heshimu meza, heshimu nafsi yako. Mwanaume halisi anajua mipaka yake na thamani yake.