@lifeofmshaba Lucky Dube aliwahi kuimba akasema π£οΈThe woman you love is a tool for pleasure for another man. Yeees yaaani mwanamke umpendae ndio chombo cha starehe kwa mwanaume mwingine. Mr challe nafikiria hukujiandaa kwa Hilo wakati unaingia kwa huyo mwana mke pole Sana π₯