@SalhaBintiAziz@husseinabui Dah...mwanamke anae ona sifa kubishana na watu hivi na ameolewa, kama mume wako anaona haya na amekuachia uendele na huu ubishani basi mumeo nae ajitathmini.
@SwahiliBible Mnapendaga kukosoa mapungufu yetu kwa kufananisha na ulaya...hukumbuki hivi karibun nchi za ulaya e.g. German and spain walikua na shida ya maji adi raia wamezuiwa kuosha magari