@Meshaccky @ommyfitness Naam usipowaambia ushauri utapata wapi??! Kibaya ni kusema na huna pa kuanzia, unasema na mtaji huna, ila kama unao shirikisha watu utapata kitu
@ElevenIsNumber @Comredrsm @HKigwangalla Hawa wanaokataa ni wale ambao wanakula Leo, ya kesho itajijua!!! Upate 500k Kwa mwezi ushindwe ku save kweli??!
Kuna mmoja ati 900k per month na ameshindwa ku save anasingizia ndugu
@Comredrsm @HKigwangalla Na kibaya elimu wanapewa hapa hawataki kuamini!!!
Na kingine vijana wenzetu wanchangia kuharibu maisha ya wenzao Kwa kuwaonesha kuwa vitu vya anasa ni basic need kumbe sio!!!
@IdrisSultan@fumbokhanJr Huyo huyo madenge ndo anataka kudanganya vijana humu, wakati yeye zinaigia kwake na Kwa mke!!!
Anataka vijana waamini pombe ni basic need
@Robertmagobe@MsuyaHuruma@HKigwangalla Success inabebwa na discipline and consistency.
Tunajua vitu vingi, tunaweza vitu vingi lakini wengi tunakosa Discipline na Consistency. Ndio maana only 3% of people duniani are successful people 😄 (Financial Freedom)
@machifutz @Meddykivu1@HKigwangalla Mrejesho wangu ni mkubwa Sana baba, amini nakwambia, nmefanikiwa ku save salary yangu kama ya mwalimu tuu wa secondary ila nnakaribia pesa ya pension ya huyo huyo mwalimu anayopewa Ile 33%