@Haji_beka23 @narrowbeefly Makampuni ya simu hayakopeshi ndugu, hizo huduma za kukopesha unazoziona ni huduma za mabenki wameingia ushirika na mitandao ya simu.
1 Vodacom
Songesha =TCB
M pawa = CBA
Mgodi = DTB
2 Yas Mixx
Nivushe Plus =CRDB
Bustisha = Azania Bank
3 Airtel
Kamilisha = A&M Bank
@ChalinzeYETU@INFLUENCERjr Ai imezungumzwa zamani sana.
Filamu za Arnold zote za Terminator kuanzia ya mwaka 1984 zinaelezea madhara ya Ai siku za usoni.
Wengi wanadhani neno Ai ni jipya kwasababuya hizi apps.
Filamu zote za maroboti ulizowahi kuona ni Ai inazungumzwa humo labda hakuwai kujua.
@cletucchi_08@krisBangala Kanuni haijasema chochote yaani haijakataza wala kukubali.
Kwahiyo kanuni kukaa kimya huo ni mwanya wa kukwepa kanuni kuhukumu(loophole).
Na wenye wametumia hiyo loophole.
Ukishitaki utaulizwa ni kanuni gani umevunjwa.
@fredgrapher@BillyTronix1 TCL na Hitachi ni brand mbili tofauti sema kuna baadhi ya mambo madogo tu walikuwa washirika hasa kwenye mambo ya masoko ndo maana unaona hivyo vibandiko.
Hitachi ilianzishwa mwaka 1910.
TCL alianzishwa 1981.
Hitachi ni ya Japan.
TCL ni ya China.
@1960Remija Mfano Mwingine FSG walinunua Liverpool mwaka 2010 kwa £300M, Nike alisaini udhamini wa kutengeneza jezi wenye thamani zaidi ya £400m kwa miaka 5, Adidas kachukua tenda kwa sasa maana atatoa zaidi ya hiyo £400m.
Liverpool ilikuwa na thamani £300m mwaka 2010 lkn kwa sasa ni £4.3b.
@1960Remija B20 ilikuwa ya mwaka huo. Time value of Money . Uwezo wa kununua wa B20 ya mwaka 2017 si sawa na sasa ukijumlisha na Klabu haikuwa imejibrand kama sasa.
@Haji_beka23 @narrowbeefly Makampuni ya simu hayakopeshi ndugu, hizo huduma za kukopesha unazoziona ni huduma za mabenki wameingia ushirika na mitandao ya simu.
1 Vodacom
Songesha =TCB
M pawa = CBA
Mgodi = DTB
2 Yas Mixx
Nivushe Plus =CRDB
Bustisha = Azania Bank
3 Airtel
Kamilisha = A&M Bank
@kocoryko@boazjordan1@IAMartin_ Yeah! Wakishasema Deni la serikali ni linakuwa tayari jumuishi, ndo deni la taifa hilo, Serikali kuu + Mashirika ya umma.
@masanyiwajr @paulo_mallya@ayubu_madenge Unaweza kuwa bora kwa wakati fulani likn sio bora kila siku.
Uwanja ulikuwa bora kweli kwa wakati huo lkn sio sasa.
Kwanza tumeshindwa ku mantain mpaka tunakuja kukumbushwa na CAF.
Kitu chochote alichotengeneza mwanadamu, ubora wake unaendana na maboresho ya mara kwa mara.
@Joblube4135261@Fundi972@YerickoNyerereT@YoungAfricansSC@SimbaSCTanzania Yupo sawa, linapokuja swala la ushabiki au kupenda, binadamu uwezo wake wa kufikiri uwa uko chini sana kwasababu anakuwa anatumia hisia zaidi. Mfano ndo huo wa Yeriko kipindi cha kampeni.
Simba na Yanga pia huwezi tofautisha msomi na hasiesoma likija swala la hizo timu.
Dini pia.