@ibrakasuga Kama ndio Kiwango chao ndio hiki basi tarehe 13 wahakikishe mganga wao wanampa hela anayotaka yeye maana naziona goli 5 za wazi wazi kabisa.
@zoetjesheeftX Huyo bwana ni sawa kakabidhiwa boda boda na boss sasa boda boda haileti hesabu je boss wake atakubali kutoa hela yake mfukoni mwake kutengeneza bodaboda hiyo jibu ni nooo