@grok@EsirEid@grok kuna mtu ameandika haya majibu na wewe bila kutumia akili umeenda kukopi hivyohiyvo, we grok una akili kweli wewe ? jifunze kuoa majibu yako na sio kuigiliza watu.
@LukonaJNR Nyumba za hovyo. Hata isipovuja kwenye bati, itakugharimu kupiga rangi ukutu mara kwa mara kutokana na kunyeshewa na mvua. Pia, maji kuingia ukiacha dirisha wazi wakati wa mvua
@EsirEid ๐wanaume leo kila mtu akague pochi ya manzi yake, ukikuta tu hela feki, jua tayari tajiri ameshapita. Daaah, inauma sana, halafu ndo ukutw umemfollow na huwa unapenda vita zake, kumblock huwezi, ni maumivu makali sana.
@IamLyenda kwa hiyo watu wamekuja mara 1, wakarudi tena mara 2 mmeshindwa kuwarekodi/piga picha hata kwa dirishani ?
????????????
Mtu anamiliki magari ya mizigo anakosaje CCTV Cameras nyumbani ?????????
@Happinesmlay hivi rangi ni sura ? Maana wengi humu mnamsema kuhusu sura yake kana kwamba leo ndio mmeiona. Kilichobadilika ni rangi ila sura ni ileile.
Na nyie mabinti msiwe mnajikataa, umeumbwa black jikubali, ma filter ya nini ?
Hebu ona sasa DP na picha uliyo tweet rangi tofauti kabisa
@qwille@kasesco_tz Kuna Doctor moja wa Uchumu alituambia wakati wa ukoloni haya jamaa qa Asia walitumia mbinu hiyo ya kujisaidia hovyo hovyo ikiwa ni njia ya kuresist ukoloni.
@mkongo_24_@EsirEid itakuwa kuna mtu alimdanganya, hawa wamezoea kupewa pewa vitaarifa wanajifanya wanajua kila kitu. Sasa kupatwa kwa mwezi ndio inatokea kwa mara ya kwanza TZ? Hizo nyakati zingine ilipotokea ni utawala gani uliiaha ?
Niliwekwa kabatini siku nyingi sana.