Habari ndugu, karibu kwa kazi mpya ...#Nduguwambali
Mombasa na Mzizima - https://t.co/cueQ3FBWt3
Shaaban na Ngugi - https://t.co/C3HWfwgJX4
Project link - https://t.co/eplC01vxlO
HAYA NI MAOMBI YANGU KWAKO👇
Wote ninaowapenda wasipitwe na neema yako
Basi ikiwa ipo ahadi ya kuingia rahani mwako
Sitaki kukosa na niwapendao
Funua Neema yako Familia yangu ikujue
Funua Neema yako marafiki zangu wakujue
Funua Neema yako Mataifa yote yakujue