Somo la ushawishi kwa dakika 1.
Kama unataka mtu yoyote akubali wazo lako lolote,
Usimuonyeshe wazo lako unavyotaka muonyeshe wazo lako anavyotaka yeye!
Mifano 3 tofauti.
1. Kwenye mahusiano.
Kuna dada unampenda, unatamani kuspend nae time…
Usimwambie unavyotaka,
Kila HAPANA ni mazoezi ya NDIO yako ya baadaye.
Kila kushindwa ni ukurasa unaokufundisha jinsi ya kufanya vizuri zaidi wakati mwingine.
Na kama hukataliwi kabisa…
Huenda malengo yako ni madogo mno.
Unajua kwanini WAJAPANI Wanaishi Miaka Mingi sana Duniani?
Japan ina idadi kubwa sana ya Centenarians, yaani watu wenye umri wa miaka 100 na kuendelea.
SIRI 9 za WaJapan kuishi umri mrefu ambazo zitabadili maisha yako 👇
LiKE na RETWEET Wajifunze Wengi.
🧵
Nafasi za SOLUTION PROVIDERS huwa hazitangazwi, bali nafasi za KAZI/AJIRA zinatangazwa!
Kwa wewe kijana mwenye MAONO na maisha yako na hujapata AJIRA kwa muda mrefu lakini unao UWEZO wa kuwa Solution Provider fanya mambo haya ili upate kazi:-
Shuka na Uzi huu:-
MIPANGO YA 2026:
Kuwa msiri. Sio kila hatua uiseme kwa watu—acha waone matokeo.
Fanya kazi kwa bidii kila siku. Nidhamu yako ya kazi ishinde hamasa.
Vaa nadhifu. Heshimu mwonekano wako — hakikisha unavaa kwa stara na upendeze.
→ UZI:⤵️