@RTimilah53539@Madari1929@lughxt11@Elsukay0@EsirEid Ishu ya utapeli usiikatae moja kwa moja coz miaka sasa analalamikiwa yule jamaa toka JF miaka hiyo ana hiyo skendo so sidhani hizo zote ziwe ni chuki binafsi tu za watu.
@Madari1929@lughxt11@RTimilah53539@Elsukay0@EsirEid Kama hata suala la IQ umelikataa basi kuna namna uko personal kwa jamaa. Akili kweli anayo labda tukubaliane kaitumia vibaya ila brain yake kubwa hilo lisibezwe. “Sisapoti utapeli wake.”
@sir_ngailo@wilbertndunguru@Sonko_tips Uko sahihi bro. 1XBet wako smart sana kwenye terms zao ila ni wako LEGIT ukiwa hujaBLEACH rules zao. Mfano mtu unakuta NIDA moja ina account mbili. Lazima msumbuane baadae.
@sungwamaduhu@wilbertndunguru@Sonko_tips Ile ishu niliisikia inasemekana mfumo uli misbehave ndo mana walizungua kuwapa. Na ni wengi sana walipiga nahis wakashtukia mchongo.
@MrDepalitto9 Hata meseji za fake replacement spares zinafutwa pia. Na hizo ni nyingi sana kupata iPhone used haijabadilishwa kitu hasa kwa hizi old models uwe mjuzi wa mambo kweli kweli.
@mnazi36@Wakazi Kwahiyo the whole Africa kuwa hivyo ndo ina halalisha hili? Na je hizo nchi zote za Afrika zina utajiri wa rasilimali kama wetu? Hatuna excuse kwenye hili bro.
@EliraNyamu Ni ngumu huwa kuna fake link wanatuma na inaonekana from Apple ukifungua na kufuata maelekezo kazi imekwisha na wanaweza kubeba mpaka hela zako zote kuanzia bank mpaka kwenye mitandao ya simu. Ila bila hivyo bado ni ngumu kuiAccess hasa kwa hizi models za juu.
Waingereza wanaongea kingereza kigumu pengine kuliko nchi zote zinazoongea kingereza, jamaa wanadai inafika stage hata wenyewe kwa wenyewe hawaelewan yan wa liverpool anaweza muongelesha mkali wa Birmingham na asimuelewe kabisa wana accent jau kinoma 😂🙌
@spana_Konki@DrKessyJulius1 Aisee 😀 hoja yake ilikua oa/olewa unapoona umemaliza ujana na sio unapokua financially stable we hiyo umeitoa wapi? Unadhani angesema unayoyasema watu wangemwona kazingua? Btw clip hiyo hapo taja kuanzia dk ipi kagusia au kuongelea masuala ya hela?