@MwanaishaMndem2 @zittokabwe@ClubMagufuli and tunaambiwa kila siku kwamba hiyo miradi inafanywa kwa kutumia fedha za ndani,yaani za walipa kodi..,how come tena kukopa!?jishikeni ninyi praise team,hii nchi ni yetu site jamani,kuweni na kiasi
@MakuruRobert @Nkololotz@Kanenamagufa@zittokabwe@MwananchiNews Muelimishe taratibu tuu atakuelewa...,wengi wanadhani ili jimbo liendelee sharti fedha zitoke kwenye mfuko wa mbunge yaani mshahara wake,wanasahau kwamba Wabunge ni wasimamizi wa maendeleo kwenye jimbo husika na wajibu wao ni kupigania maslahi ya wananchi wao
@Chahali@MagufuliJP@ClubMagufuli hii ni huko Kigoma,mkoa ambao kwa kifupi huduma muhimu za kijamii zikiwemo Huduma za afya,miundombinu ya barabara,Umeme na maji safi kwao bado ni kitendawili kigumu sana,ila wanavyonyongwa sasa!?
@ClubMagufuli @MakuruRobert @MariaSTsehai Style yenu ya kitafta U-DC na U-RC ni kupitia tabia hizi za kusifia hadi kupitiliza,kujikuta mnakitukuza kitu kuliko hata huo utukufu wenyewe...,mfano mzuri ni kwa yule RC wa Mbeya nadhani haamini bado kama yeye ni RC...anasifia mpaka anayesifiwa anakereka...
@ClubMagufuli @MakuruRobert @MariaSTsehai Kukasirika tena!?nadhani huna jipya,hata majibu yako yanaonyesha tuu...,sijaiona mantiki yoyote katika kile unajaribu kukitetea and nilichokigundua ni kwamba hiyo club Magufuli ni ujanja ujanja tuu,mission town kama ambavyo unasema wewe,ila haijawa na support bado..
@ClubMagufuli @MakuruRobert @MariaSTsehai Akili yako ni ndogo sana kiasi kwamba vitu unaongea haviakisi ukuaji wa uchumi,au maendeleo ya Mtu mmoja mmoja,Ikiwa Rais mwenyewe ni mpiga deal how come ushangilie mwizi kuchukia wezi wenzake!?and hiyo poor mentality vyenye umejiwekea itakutesa sana aisee
@ClubMagufuli@ACTwazalendo Your not a loyal citizen and you can't be serious,simply you don't know what's up in your country..., just keep praising while everything are being ruined everyday
@ClubMagufuli @MakuruRobert @MariaSTsehai Unafiki huu ni mbaya sana jamani,hivi ni kipindi hiki tuu cha Magufuli utasikia watu tena ni nyie praise team na Huyo Magufuli mkisema watu wafanye kazi,Ina maana kuna mtu hajui umuhimu wa kazi kweli!?alafu hapo hapo mazingira ya ajira bado haueleweki
@ClubMagufuli@ACTwazalendo Kila mtu na nani zaidi ya nyie msiopenda kuweka takwimu hadharani!?endeleeni tuu kumwabudu kibudu ambaye na yeye anatumia pumzi za kuazima au kukopa kama Mimi na wewe,kazaneni sana...,ila kwa kifupi hii ya ukuaji wa uchumi kutoka juu kwenda chini nimeupenda sana...hongereni sana