Expert in project management, humanitarian issues, good governance, conflict management and peace building, public health, youth empowerment and mentoring
It was a great opportunity to meet with my fellow youth and discuss on various issues that concern us young Tanzanians and how we have been given priority in the budget for the next financial year 2022/23. #budget2022#youth issues.
Nimezundua shindano la vijana, Tanzania Emerging Youth Awards (TEYA) 2022, katika Ukumbi wa maktaba ya chuo kikuu cha Dar es salaam Agosti 25, 2022.
Kazi inaendelea.
Tumepokea taarifa za kuhuzunisha kwamba Afisa wetu wa Kitengo cha Elimu kwa Umma, Bw. @TitoMagoti ametekwa na watu waliovalia mavazi ya kiraia maeneo ya Mwenge, jijini Dar es Salaam.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hizo na tutatoa taarifa zaidi.
#BringBackTito