CEO & Founder of KajoItech & Chochote magazine.. Basketballer, programmer website & mobile developer, graphics designer.. Always like doin what makes me happy..
11 seconds left, 85-85. A big rejection for NCT but the miracle happenedโฆ FOSTER WITH THE BIG BUZZER BEATER FOR DAR CITY! ๐ฅโฐ
The bench LOVES it! ๐
Team ya basketball ya UDSM OUTSIDERS๐ ndio team pekee mpaka sasa ambayo imeshinda michezo yake yote ndani ya mashindano ya DB league msimu huu.
Outsiders wamecheza michezo 6 na wameshinda michezo yote.
Ndani ya michezo hiyo 6, Outsiders wamefanikiwa kufunga jumla ya ๐๐ป
@IdrisSultan@IdrisSultan utajiri nilio nao ni ubunifu tu kaka. Nanunua viazi,namenya na kukata mwenyewe napaki kwenye vifungashio na kuuza. Ndoto ni kukuza hii brand kwa kuwa na vitendea kazi. Nipo Machava,Kigamboni mkabala na geti la jeshi,nakaribisha sapoti kwa hali na mali.
@raphyrodrick Wabongo bana ni watu wa kukariri.. Corporate wear doesn't add any skills in programming.. kama hujui hata uvae vipi haisaidii.. nenda google HQ huko uone watu wanavyovaa casual na mambo yanaenda mukide tu.. Steve Jobs mwenyewe alikua mtu wa jeans na raba..
OFA YA "LOGO DESIGNING" BURE!!
Haya weka jina la biashara au brand yako hapa kwenye comment, kisha nita-design Logo yako moja BURE.
OFA hii ni kwa Watu 20 wa kwanza watakao re-tweet na kuni-follow na kila Logo nitaipost kwenye social media platforms zangu zote.