@fumbokhanJr kaangalie mpira vizuri..
wala hili silo tukio ambalo lililotafsiriwa kuwa offside na waamuzi..
and for the record ni kweli lile sio goli ni ofside
@jemedarisaid was it tactic and strategic win as a team or it was individual efforts and opponents mistakes which lead to a win ?????
sisemi makocha hawajajitahidi but pia inabidi tuangalie a team as collective perspective