@King_davd_ii@royalmediatz We acha tu mkuu. Omba sana MUNGU usipite njia hiyo maana hata kama umenizatiti vipi, akiamua kukuvuruga utatamani ule nyasi kama mbuzi
@justice_ser@royalmediatz Sijataja swala la kuoa, angalia andiko langu vizuri. Na hayo ni mawazo yangu tu ila nina imani hili tatizo lipo hivyo lazima msaada wa kielimu uwepo, na pia swala la emotional intelligence kwa wanaume ni la muhimu sana. Vifua vya wanaume vimebeba mambo mazito sana mkuu