@hancymachemba@PMadeleka Kaka mkubwa ukiona hivyo, ujue hata wao, wanapiga Sana mtuwangu. Nivile hatujaona ushahidi wa mezani Kama huo, Ndio maana walipewa hivyo vitengo. Hao watu hawajalalamikiwa leotu, nimuda mrefu Kisha wanapewa tena nafasi nyeti Kama hiyo.