Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu aliyasema hayo katika mahojiano yaliyoruka Mei 9, 2026 na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Fuatilia zaidi https://t.co/mvMyrA4S9a
#JamiiForums #Uwajibikaji
Jaji Joseph Sinde Warioba ambaye ni Waziri Mkuu Mstaafu amesema hayo Mei 9, 2026 katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu pamoja na Khalifa Said wa The Chanzo kuhusu Ripoti ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Oktoba 29, 2025.
Zaidi https://t.co/IiVnZTKbsH
#JamiiForums #Uwajibikaji #Accountability
Maisha mzee. Kuna mtu anakulilia shida kwakuwa anaamini hautamvua nguo. Akiokota atakaa mbali ili usihemewe na shida zake. Anajua ukimuona utasikia haja ya kumsaidia. Akirudi tena ujue amerudi anapojua atalia bila kusimangwa. Wanaume tuelewe hili. Kuna watu genuinely ni wahitaji!
KWANINI NIWEKEZE MIL.1 NIPATE 12% KWA MWAKA, WAKATI NAWEZA KUZUNGUSHA HIYO ELA MARA 3 KWA MWEZI KKOO?
Kumekuwa na “misconception” ya kulinganisha faida ya uwekezaji katika masoko ya fedha na faida katika biashara za kawaida.
UFAFANUZI
1. Haipaswi kuwa hivyo, hili sio suala la kuchagua “either or”, ila ni moja kusaidia lingine.
2. Jambo la kwanza unapaswa kujenga kipato kwanza (active income), then sehemu ya kipato chako ndo itumike katika uwekezaji (passive income).
3. Kipaumbele kwanza ni kutengeneza kipacho cha msingi (active income), lipa gharama za maisha, then 10-20% mfano weka pembeni, ndo ukawekeza kwenye masuala ya hati fungani, hisa, bitcoin, mifuko ya uwekezaji, ETFs,n.k
3. Kipato chako cha msingi kinaweza kuwa ajira, biashara, n.k
4. Mahali pekee unaweza kutumia uwekezaji katika masoko ya fedha kama “active income” ni pale tu unapoamua “trading or investing” inakuwa ndo career yako (professional investor), kama most of crypto or FX traders wanavyokuwa
5. So, kipato chako cha msingi kinavyoongezeka, na ukaweza kuweka akida zaidi, ndivyo utapata fedha zaidi za kuwekeza katika masoko ya fedha kupata “passive income”. Kama ilivyo kwenye 50/30/20 rule.
6. So, tumia biashara yako ya kilimo, madini, nguo, vipodozi, etc, kama active income. Then lipa bills zako, then weka a portion of it, kuwekeza katika hati fungani au hisa. Sio suala la “either or”
- Mfano, biashara inakupa net margin ya 15%, chukua 5% wekeza katika masoko ya fedha, na 10% invest back into the business.
- Then uwekezaji unaweza kukupa 15-20% return.
7. Huo uwekezaji utakusaidia katika mambo mengi yakiwemo;
- Dharura mbalimbali, ili usile mtaji wa biaahara
- Kama source ya mtaji kukuza biashara yako
- Kuboresha maisha yako (lifestyle) bila kuathiri fedha za biashara
- Itakusaidia katika uzee wako (retirement buffer)
- Kukupa cashflow cover kipindi biz inakuwa ngumu or when clients dont pay on time.
8. Kanuni hii pia inatumika kwa matajiri wakubwa ndo maana utakuka wana vitu kama family offices, family trusts, wealth managers, private bankers, n.k
So, idea sio either biashara or hisa, suala ni kufanya both, kwanza jenga kipato kwa biashara au ajira, then allocate 10-20%, wekeza
Unaweza kuanza sasa hivi.
Unaweza kuanzia hapo ulipo.
Unaweza kuanza na kile kinachowezekana.
Unaweza kuanza ukiwa bado unajifunza.
Unaweza kuanza ukiwa bado unaogopa.
Unaweza kuanza ukiwa na maumivu.
Unaweza kuanza ukiwa na wasiwasi.
Unaweza kuanza ukiwa unatetemeka.
Unaweza kuanza ukiwa na hofu ya kushindwa.
Unaweza kuanza pale pale ulipo, na kile ulichonacho.
Unaweza kuanza.
Unaweza kuamua kuanza.
Unaweza kuanza na usiache.
Usisubiri ukiwa tayari.
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.