Alizaliwa Singida akakulia Lushoto na Karagwe baadae akaenda kwa Masomo ya juu USA.Akapikwa kwenye kituo cha rais Jimmy Carter wa USA kisha akarudi nchini kuitumikia wizara ya mambo ya nje kisha akawa msaidizi wa Jakaya.Waziri mstaafu,Mbunge January Makamba leo anatimiza miaka 47

RAIS MWINYI: SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA IMEDHAMIRIA KUENDELEZA AMANI
- Dkt. Hussein Mwinyi amesema, uwepo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa umeimarisha Amani, Umoja na Mshikamano Visiwani Zanzibar, hatua ambayo ni chachu ya Maendeleo
Soma > https://t.co/bfo7vroywJ
#JFLeo
Marekani imewawekea vikwazo vya visa watu iliodai kuwa wamehusika kudhoofisha demokrasia nchini Tanzania wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amesema matendo ya watu hao yalivuruga mchakato wa uchaguzi.