@AlexSamoja Alipaswa kujibu hivi bila kuharibu, Habari, mim ni mstahiki meya wa jimbo la ubungo na si DC kama ulivonitaja hapo, ila kwa mamlaka niliyonayo ninakuomba ufike ofisin kwetu, ili tuweze kujua changamoto zako na uweze kupatiwa msaada chini ya ofisi ya manispaa natanguliza shukrani.
@fumbokhanJr Sema in 10yrs to come when muziki wote utakuwa ni AI wasanii kama hawa ndio wataelewa kuwa wakat huu ndio ulikuwa wakat wao mzuri kufanya investment badala ya kuspend on women