@IshezeSon@TBoundBuses "wewe unaongea takataka gani!? Abood!?
Hao ndio wapuuzi kabisa, kama natuma mzigo kariakoo asubuhi saa nne uende morogoro unafika baada ya siku tatu, Mwanza si ndio utafika baada ya kiama."
@PKishamba "Na kwa lile uliloandika kuhusu Kocha MGUNDA kuwa hana vyeti,kwa moyo mmoja nakuomba urudi tena shule ukasome kanuni na taratibu za uandishi."
@munisijo@MSalimu@KenyaAirways "hapana hiyo siyo CALDERA hiyo ni KRETA, CALDERA ni kama Ngorongoro ,sehemu ya ardhi hudidimia kwenda chini baada ya volcano kulipuka,KRETA ni sehemu ya ardhi hupanda juu kutokea chini wakati magma inatoka na ndio huacha hilo shimo ."
@rollymsouth "nimejifunza kuwa mpe mjinga nafasi aonyeshe ujinga alionao,Si mlaumu mwamba ila maana yeye ndio anajua situation aliokuwa anapitia,ila ningekuwa mimi ningetoka na begi usiku huo na ningetafuta loji nyingine,na asingeniona tena,kuhusu mtoto labda aende ustawi ili tupate muafaka."
@HKigwangalla "mafanikio makubwa yepi!?
Simba inaingia fainali ya shirikisho miaka ya 90 ilikuwa chini ya udhamini wa ukoo wa Dewji,miaka hii ya 2000 inaliheshimisha taifa Africa hukoo ipo chini ya udhamini tena wa ukoo wa Dewji,lini ilipata mafanikio nje ya hizo kooo mzeee!?"
@HKigwangalla@HajiManara "Mheshimiwa @SimbaSCTanzania wapo kwenye usajili na kuipeleka timu kambini kwa maandslizi ya msimu ujao,vipi huoni huu ndio wakati wa @moodewji kuondoka na wewe ukaweke pesa pale kwa ajili ya timu!?"