@amprincess9@TricyDagaa_ Mm nilitumiwa mvunyo kutoka dom mtumaji akaandika ni asali wale staffs wa Ile bus mvunyo mpk leo sijaupataga na nimepanga kufanya revenge mwaka huu huu, watu wazima waliniambia adui unayemuweza usimuachie mungu๐ ๐ ๐ฅน
@amprincess9@TricyDagaa_ Uroho uroho ni mbaya kama nyege tu, pole kiongozi ili kukomesha tabia hiyo acha mwezi upite then tuma mzigo mwingine wenye sumu ndani yake weka anuani ya uongo maana mzigo huo hauuzwi bali wanaondoka nao wenyewe hao staffs wa hiyo bus๐ ๐ ๐