@darmpya_@MsigwaGerson@MsigwaGerson ndugu yangu wewe unafaidika nini kwa watanzania wenzako kuwa magerezani eti kisa walipishana kiitikadi na marehemu JPM aliye kuwa bosi wako zamani ? Zama zimebadilika ndugu ongeza nguvu kwenye kufungua ukulasa mpya. Na siyo kutetea upuuzi huo
@Mwanahalisitz Ila kwa kuwa alihapa kwa kuishika Biblia takatifu kwamba atailinda na kuitetea katiba. Sisi tusubili Mungu atupe majibu tusiwa na haraka
@eFrddie Aliapa kuilinda na kuitetea katiba ya jamuhuli ya Muungano wa Tanzania kinyume chake anaichezea anavyotaka eti kisa anamikono salama. Hiyo na CCM ukiwa huko ni lazima ufyatuke akili kidogo.
@Liberatus80 Haya ndo matunda ya ujinga wa CCM leo katiba na sheria zatu zina puuzwa na kuchezewa kwa sababu tu supika ana mikona salama. Embu tuone mwisho wake utakuaje