Kwa huduma za
1. Usajili wa Kampuni na Jina la Biashara, updating & filling Annual returns.
2. Huduma za TRA katika mfumo mpya wa online
3. Tender Document preparation whether manually or TANePS and submissions. Check out https://t.co/32EVrtx6vE
@airtel_tanzania Hiyo ni ya kwanza na nikaambiwa tatizo limeshughulikiwa kikamilifu wakati hakuna kilichofanyika. Kwa nn mnidanganye? Makubaliano yetu mimi nilipie huduma nanyi mtoe huduma, kwa nn mnashimdwa kutimiza wajibu wenu?. Mmeamua kuvunja makubaliano kwa makusudi. Tusije laumiana.
@airtel_tanzania Dear Customer, we have successfully resolved your issue with Ticket ID : 1509264034205, hii nilitumiwa kuwa tatizo limeshughulikiwa ilhali hakuna kilichofanyika, kwa nn mnakuwa waongo waongo hivi na makubaliano nilipie huduma nipate huduma, kwa nn hamtimizi wajibu
@airtel_tanzania Nimelipia Internet ya ODU kifurushi cha 70,000/= jumapili asubuhi, toka nimelipa sipati internet nimeishafanya mawasiliano mara kadhàa naona sipatiwi ufumbuzi
@YerickoNyerereT Ni aibu kubwa sana na ni fedheha kubwa sana jitu zima kuikana familia yake na ukoo wake, wanawake ndiyo huruhusiwa kutumia jina la ukoo la mwanaume alikoolewa, la kwako linafikirisha sana