@Dr_DGwajima Mama embu nenda baikoko leak. Kule ni hapa kwako au Kuna tz nyingine, maana kama ni sodoma hapa imezidi, kazi Yako Haina maana kama haya mambo yapo, au nyinyi govnt vipofu et? Haya mambo yanayofanyika hasa kwenye vigodoro yapo Tena mchana kweuupe mbele ya watoto, govnt mpo?
@YerickoNyerereT Na ww sepa Babu!! Sasa ni mwendo wa mafuta na maji, sisi wanachi ndio tunaowajuwa viongozi wa kweli ni wakinanani.
Tukiwapima tunaona kabisa Hawa wanyonge, wanaouliwa na kupotezwa ndio wanaotusimamia sisi katika haki, nyinyi ndumila kuwili mtuache
@fatma_karume Kimoja ni ccm kimtumia mtu kama huyu,yaan huu uchawa ccm walioanzisha, aisee nimemiss uongozi wa BWM. lkn haya yanaendela Leo tz, usikute cc ni nchi ya vichekesho duniani
@MsigwaGerson Mwambie mama Kwa haya matukio ya watu kushambuliwa,kupotezwa, kutekwa. Ktk uongozi wake yanamtia doa. Cc wapiga kura wake tunajiuliza, au nikipofu?. Yy kama mama wa taifa hili awe na maumivi kama kuku anavolinda kifaranga chake, hizi damu za watu za arthini !! Ohooo
@fbuyobe So mbowe hata neno limeshindwa kumtoka.
Yule jamaa aisee. Huu ndio wakati ambao angeonyesha ya kuwa alikuwa kiongozi wa kweli, Naona uko aliko anakata kuku Kwa mrija tu
@IAMartin_ Ndani ya uongozi wa 21, Fam ataleta jipya gani, nyinyi ni wapiga dilli, tushawashtukia, hofu yenu TAL, kuwaongoza Nini!?, Fam akipita Leo ndo mmzika chama, makaburi yaliaandaliwa siku nyingi, hata M KP, anawashutua Kwa katuni zake, mhastuki tu
Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.