UZINDUZUI WA WIKI YA SIMBA:
Tumezindua rasmi Wiki ya Simba kwa zoezi la kuchangia damu
Kwa Dar Es Salaam tumefanya zoezi hili katika maeneo ya Karume, na Chamazi
Huku tukitoa rai kwa Wana Simba Nchi nzima kuendesha zoezi hili katika maeneo yao
"Pre-season is always good to really adapt to the team and to learn the style of play as the manager wants to see."
Cody Gakpo is soaking up the details of his first pre-season with the Reds as he aims to build upon his opening seven months at the club 👇
Duka kubwa la klabu yako pendwa linalopatikana Makao Makuu yaliyopo Kariakoo, Dar es Salaam liko tayari likiwa na bidhaa zote za Simba. Wote mnakaribishwa. #NguvuMoja
@Bnlade14486375@EastAfrican_Son@JamiiForums Wewe Kijana Mdogo SANA, Bado Hata Hujakuwa Na Akili Vizuri, Nakuonea Huruma Umekuwa Brainwashed na Majini Na Mizimu ya Babu Zako...Tulia Utakuwa Ambassador Mzuri Sana Kwa Ummah Wa Kiislamu..Muda Ni Wakati Sahihi Wa Kujibu, Aamin 🤲🏽
@EastAfrican_Son@otto_tz@masoudkipanya Hizo Ndio Akili Mulizojengwa Huko Kwenye Ukafiri Na Upotofu, But Nakuahidi Utakuja Kuujua UKWERRIII Wa Uislamu na Kuja Kujutia Muda Wako Uliopoteza Wewe Ni Kijana Mdogo SANA, Walikuwepo Maaswiya Wakubwa Kuliko na Wenye Nguvu Zaidi, Leo Wapo Wapi? Utabadilika Tu Wakati Utajibu.
@EastAfrican_Son@MARGARE33961115@masoudkipanya Yaani Wewe hupindui Kabisaa, Utakuwa Muislamu Swafiii KABISAA na Utakuwa Shekhe Unatoa Ushuhuda na Kukana Mizimu Ya Babu Zako Ni Shirki Zote, Na Kumridhia Allah Mwenye Uwezo Wa Kila Kitu.
In Shaa Allah Khair, Wakati Ni Jibu Sahihi. Tuliiiaaa hem Tuliaaaa
@EastAfrican_Son@Bnlade14486375@JamiiForums Nyinyi wawili, Hamuwezi Kupita Hivi hivi Bila Kuwa Na Dini Ya Haki Uislamu. Tena Nawaombea Wote Kwa Pamoja na Hampindui KABISAA!
Mtakuja Kutuomba Radhi Hadharani KABISAA na Kutoa Ushuhuda Wa Mola Wa Kweli na Kuacha Mizimu na Majini Yenu. Hiyo Laana Na Ushirikina utawaisha KABISAA
@EastAfrican_Son@LLutabingwa@masoudkipanya Dunia Nzima, Ndio Dini Bora Kwa Sasa Hakuna Matongo Tongo Kama Yako Ya Mizimu ya Uswazi Tu, Dini Gani HIYO!
Nimekuombea Uwache Maaswiya Kwa Mola Nakuambia Hutopindua KABISAA, Mola Wangu Ananguvu Zaidi ya Mizimu na Majini Yako!
Wait and See The Power Of Only One, Allah S.W
@EastAfrican_Son@Bnlade14486375@JamiiForums Hiyo Imeisha HIYO, Nimeshafanya Tuone sasa Majini Yako Na Mungu Wangu Wa Haki Nani Ananguvu na Utukufu Wake... Haiwezikani Uabudu Mizimu na Majini Ni Shirki Na Laana Kwa Mola MKUU Asie Na Mshirika.
Utakuja Kutubu Na Kuomba Msamaha Hadharani Baada Ya Kukiri Makosa Yako. Yeye Zaidi
Baada jana kutangazwa ukarabati wa Uwanja wa Benjamini Mkapa
Wengi wamekua na hofu juu mustakabali wa Tamasha letu la Simba Day
Taarifa rasmi ni kwamba hakuna mabadiliko ya Uwanja, Simba Day yetu itafanyika pale pale nyumbani kwetu Benjamini Mkapa
Muhimu tuendelee kununua tiketi
Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema Urusi itatoa bure nafaka na kusambaza kwa baadhi ya Nchi masikini za Afrika ndani ya miezi mitatu hadi minne kutoka sasa na itagharamia kusafirisha nafaka hizo hadi Afrika.
Akiongea wakati wa mkutano kati ya Urusi na Viongozi wa Afrika unaofanyika Urusi, Putin amesema Burkina Faso, Zimbabwe, Mali, Somalia, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Eritrea zitapokea kila Nchi tani 25,000 hadi 50,000 za nafaka na ameitaka Afrika kupuuza unafiki na uongo wa Nchi za Magharibi unaodai Urusi inasababisha mfumuko wa bei za vyakula.
Putin amesema licha ya vikwazo vilivyowekwa na Nchi za Magharibi dhidi ya Urusi, Taifa hilo litaendelea kutoa misaada ya kiuchumi na kibinadamu kwa Afrika “Wanasambaza uongo na hii imekuwa tabia ya Nchi za Magharibi kwa miaka mingi”
“Wametuwekea vikwazo hata kukwamisha mpango wetu wa kutoa msaada wa mbolea kwa Nchi masikini, kati ya tani 262,000 zilizozuiwa Bandari za Ulaya tumeweza kusafirisha tani 20,000 kwenda Malawi na 34,000 tumewapa Kenya, nyingine zimebakia mikononi mwa Watu wa Ulaya” ——— Putin. #MillardAyoUPDATES
@EastAfrican_Son@Bnlade14486375@JamiiForums Mbumbumbu Ni Wewe unaeabudu Mizimu ya Tanzania na Kusema Ndio Dini na Muumba Wako.
Soma KWANZA Dini ya Uislamu Upate Nusura ya Muumba Wako