#FreeTwahaMwaipaya
Ana haki ya kuwa huru na kupewa ulinzi kamili wa usalama wake chini ya sheria!
We need Twaha back safe and unharmed
#FreeTwahaMwaipaya
Nimeanza kuona MEDIA nyingi zikitumika sasa rasmi kumshambulia HECHE.
Juzi Kenan, jana kuna takataka moja sijui inajiita katibu wa CDM, wote wanafanya kazi moja kuonyesha HECHE ndio sababu kuu ya LISSU kufungwa.
Hii mbinu tayari alitusanua DADA MANGE week mbili nyuma. Na yalivyo MAJINGA hayabadilishi njia ambazo zilivuja yanasonga mbele kama MANYUMBU.
Ukienda kusoma Comments kwenye hizo post ndio utaelewa watanzania sio wajinga. HECHE analindwa kwa wivu mkubwa sana.
Kuna kila dalili MAAMUZI ya mahakama kesho juu ya MHE Lissu lengo lake kubwa ni kutukatisha TAMAA wanachadema na wapenzi wa HAKI.
Kinachotakiwa ni nini ndugu zangu?
Tayari MHE Lissu katuambia hana shida na mateso ambayo WAKOLONI WEUSI wataendelea kumpa, sisi wafuasi wake tunatakiwa kubaki imara kutokumuangusha kwenye msimamo wake wa kudai haki.
Ni ukweli usiofichika kuwa LISSU hana kosa, ila wanafanya haya yote kwasababu ya misimamo yake ya kisiasa na kupigania haki kwenye hili taifa.
Hatuhitaji kuumia na maamuzi ya kesho zaidi ya kuendelea kukaza maana tupo mwisho.
#Breaking; Kuelekea Novemba 6, 2026 siku ya Hukumu ya Mhe. Lissu.
Kundi la wabunge 23 kutoka nchi 6 pamoja na Umoja wa Ulaya 🇪🇺, likiongozwa na @aliciakearns kutoka Uingereza 🇬🇧, limeeleza wasiwasi wake mkubwa kuhusu kuzorota kwa uhuru wa kisiasa na kesi ya Uhaini inayomkabili @TunduALissu
Wameitaka Serikali HARAMU ya Tanzania @SuluhuSamia kumwachilia huru Tundu Lissu na kuhakikisha uhuru na uhuru wa Mahakama wa kujisimamia katika kuhakikisha Mahakama zinatenda Haki.
Repost 200
Mwanasiasa wangu bora 2026 ni Tata John wegesa HECHE.
Mwaka jana nilimpa LISSU.
Hii combination ya LISSU & HECHE inaenda kututoa KWENYE VIFUNGO VYA WAKOLONI WEUSI.
1. Kiri umetenda kosa.
2. Omba msamaha na utubu kwa maana umeua damu zisizo na hatia.
3. Wajibika, hukumu wote waliotenda makosa (walioua ndugu zetu).
4. Futa kesi na fungulia wote wenye kesi za kisiasa.
5. Eleza uma waliotekwa wako wapi, kama wako hai warudishe, kama hawapo hai hukumu waliowatoa uhai.
6. Itisha maridhiano, yaambatane na tume huru, katiba mpya na mchakato wa uchaguzi upya!!
NA HAYO NDIO YATAKUWA MARIDHIANO YA KWELI NA HAKI
Nakusabahi @frediejustine mpwa!
Nimechukua muda na nimetafakari ila leo nasema na wewe hapa maana sitakutafuta tena!
Ulinisimulia kuwa ulienda kumsalimia Lissu gerezani na kumwambia chama kinaweza kufutwa mkiandamana, alikujibuje? Hakukuambia kuwa “Acha wafute chama!” Uliwahi kumwelewa Lissu kwa nini haogopi na hajawahi kupiga magoti?
Mkumbuke Soka na alivyokataa kumpigia magoti Mwamba wenu! If he was asked whether he would do it again angesema “Yes!”
Hii ndo picha yangu ya mwisho nilipiga na Soka na alikuita mpige pamoja maana alikupenda na kukuamini kama rafiki yake! Leo uko front unapambania nini? How could you!?
Soka alijua the price he was going to pay for standing on the right side of history!
Je wewe unajua the price of standing on the side of the Opressor?
Jitafakari! Mungu akuongoze!
With sincere love
Shangazi Maria
🙏🏾🇹🇿 DAY THREE: MY PERSONAL JOURNEY OF PRAYER & FASTING FOR TANZANIA
📅 Wednesday, October 28, 2026 - Tomorrow is October 29.
As I enter Day Three of prayer and fasting for Tanzania, my heart remains heavy, but my faith remains strong. As tomorrow’s painful anniversary approaches, I continue praying for Tanzania, the families grieving loved ones lost on October 29 and 30, 2025, those still searching for answers, and everyone seeking truth, justice, and accountability.
Behind every life lost are grieving families, broken hearts, dreams cut short, and loved ones who deserve answers. We remember those who died, those who remain missing or detained, and all those whose lives have been affected by these painful events.
My thoughts and prayers are also with Twaha Mwaipaya, whose whereabouts remain unknown- (we have informed international communities of still ongoing enforced disappearances), and Tundu Lissu, whose safety and well-being remain a deep concern. I pray for answers about Twaha, protection for both, respect for their rights and dignity, and strength for their families and loved ones….including all others in persecutions. 🙏🏾🇹🇿
📖 MY SCRIPTURE FOR DAY THREE
“Blessed are they that mourn: for they shall be comforted.”
— Matthew 5:4 (KJV)
📖 “Weep with them that weep.”
— Romans 12:15 (KJV)
🙏🏾 MY PRAYER TODAY
Heavenly Father, as I continue this journey of prayer and fasting, please comfort every grieving family, strengthen the brokenhearted, protect the vulnerable, and give courage to those seeking truth. Remember the families who continue to mourn. Protect those whose freedom and safety are at risk. Bring answers to those searching for missing loved ones, and guide Tanzania toward truth, justice, accountability, peace, and healing.
GOD LISTENS TO PURE INTENTIONS. NEVER STOP PRAYING, SPEAKING OUT & TAKE ACTIONS TOWARDS TRUTH & JUSTICE.
📖 “For where two or three are gathered together in my name, there am I in the midst of them.”
— Matthew 18:20 (KJV)
🕊️ A NOTE ON FAITH AND PRAYER: I pray with crosses because they symbolize my Christian faith. This does not diminish, exclude, or disrespect the lives lost who were Muslims or belonged to other faiths, nor the beliefs of their families. Every life deserves dignity, love, and compassion. We may pray differently according to our faiths, but we can unite in mourning, solidarity, and the shared hope for truth, justice, and peace. Everyone is welcome to remember and pray in a way that reflects their own faith and beliefs.
🕯️ TOMORROW IS OCTOBER 29. WE MUST NEVER FORGET.
We remember the lives lost.
We stand with the families left grieving. We pray for Twaha Mwaipaya and seek answers about his whereabouts. We pray for Tundu Lissu and all those whose freedom and well-being are at risk. We demand truth, justice, and accountability.
🙏🏾 We pray.
🕯️ We remember.
✊🏾 We stand for justice.
❤️ We refuse to forget.
#FREETUNDULISSU. FIND TWAHA MWAIPAYA- Jana hapa X niliweza kumtag ila leo haikufanya kazi…we won’t stop searching for answers. PROTECT THE MISSING. FREE ALL POLITICAL PRISONERS.
There can be no lasting peace without truth, justice, and accountability.
🇹🇿 May God comfort every grieving family, protect the vulnerable, and bring healing to Tanzania.
#Day3Prayer #PrayerAndFastingForTanzania #NeverForgetOctober29 #FindTwahaMwaipaya #FreeTunduLissu #JusticeForTanzania #HumanRights #UnityInPrayer